Wadau wenye simu za android na blackberry download hii application ni kwa ajili ya kuangalia Tv kwenye simu yako..ina channel kama 25 na zote ni free na hata kama network ipo chini zinakamata...
Kwa wale wote wanaotumia BB bila kuzingatia memorry ya sim, la msingi na la secondarry ni ivii, unapotumia BB yako ku browse kwa mda flani ivi unatakiwa kukumbuka ku "CLEAR NOW" hii option...
Wataalam wangu, hamjambo?
Nimepitia Jukwaa la Jamii Photos na baadhi ya waliotuma picha huko wanasema walizipiga kwa kutumia simu zao za mkononi. Je hata mimi na kamchina kangu naweza kupakulia...
Wadau kwa wale mnaotauta a complete alternative to idm solution imepatikana na hii ni kwa watumiaji wa firefox!!! kuna addon ya firefox inaitwa DownThemAll!! hii addon itakuwezesha kufanya vitu...
Mambo vp wadau nina proxy servers kwa ajili ya free internet kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kuzitumia na kuziunganisha niweze ku access net please naomba shule ya hii kitu wazee.thank you
naombeni msaada niliomba maelekezo kwa jamaam mmoja akanitumia rar file ambayo ndani yake kuna txt file mbili moja ikiwa ni pass ya ile nyigine ambayo iko locked lakini ile file ya password...
Glowing Plants: Street Lights of the Future?By Bill Weir, Andrew Lampard, David Miller, David Kovenetsky | This Could Be Big Fri, May 10, 2013
Email...
naomba mnisaidie pc yangu haina drver ya wireless hvyo nashndwa kupata wireles, nataka kusearch google kama ntapata driver nashndwa kwani cjui hii pc ni aina gani kwan haijaandkwa popote, natumia...
So, according to a missive spreading far and wide on Facebook, NASA scientists are predicting something called a "universe change" during a three-day period beginning Dec. 23, 2012."It is not the...
If you type "illuminati" backwards, followed by '.com' as a URL, you will be redirected to the U.S. government's national security page.
yaani iwe: itanimulli.com
Samsung says it has developed technology that could sit "at the core of 5G" - the successor to the 4G mobile-communications standard.
The company says its equipment is capable of transmitting...
Simu imetoka nje ya nchi (china ) , shida ni ukipiga namba ya tigo ya tanzania , inaanza na code. +81,na hivyo simu inasindwa kutoka. Na ni namba ya voda tigo 2. Ukipiga kwngine haina shida...
Mimi ni mtu ambaye napenda sana kutengeneza electronic products. Nimemaliza chuo mwaka jana na baada ya hapo nimetumia muda wangu mwingi kufuatilia electronics design industry ilivyo kwa sasa...
Habari ya sahizi ndugu wana jf.. samahani naomba kuuliza juu ya CDMA phones kama zinatumika Tanzania. Nimepewa zawadi ya simu ya aina hii ni Blackberry 8530 (verizon) haina sehemu ya kuwekea line...
wakuu naomba msaada wenu, kuna wakati niliona hii feature kwenye laptop ya jamaa yangu, ila hata yeye hakujua jinsi ilivyosetiwa...
Natumia window 7, ila version ya WMP siifahamu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.