Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
msaada jinsi kubadili os kwenye simu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu name leo nimehamia kaulimwengu cha blackberry nimenunua kwa mtu sasa nashindwa kuunga net nimenunua bundle ya bb ila haifungui chochote ila jamaa yeye alikua anatumia tigo sasa tusaidiane...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu nduguzangu Samahani najua hapa kuna wadau wa mambo ya IT na mambo mengine mazuri Nina PC yangu ni ASUS ina HDD 250, PROCESSOR@ 1.67, 32-BIT OPERATING SYSTEM, na RAM ya IGB...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kujua tofauti ya 32bit na 64 bit. Ni katika computer za aina gani au windows zipi ndo hutumika au kupatikana. Kazi zake au faida za hyo kitu ni ipi kutokana na utofauti wake?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Napenda saana kuskiliza radio katika simu kwa njia ya internet na ninatumia simu ya Blackberry ila sijapata link,appl au website nikaweza sikiliza kama zilivyo simu nyingine kama nokia na...
0 Reactions
4 Replies
978 Views
Je hii operation system inaweza kuja kupotea katika soko kama symbian..... je ni sababu gani zinazoweza kusababisha os kufa.. uwanja wako mtaalamu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani kwa yeyote anaye jua jinsi ya kuondoa service provider network lock.ili niweze kutumia line yoyote anisaidie
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Jamani mwenye maujuzi na hii kitu inaitwa Chromebook tablet....kiufupi ni kwamba niliomba rafiki aliyeko ng'ambo anitumie lapto kwa matumizi yangu ya kawaida sasa yeye kanitumia Chromebook na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hehehehe ebwana eeh si mchezo Zantel 3G iko juu sana yani kwenye internet download manager napata kuanzia 200KBps to 500KBps mpaka 600KBps kama unavyona hapa Tena package kwa bei nafuu kabisa...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Maybe it's been happening over the past few weeks, or even months. Slowly, but surely, you've been watching your traffic numbers decline, despite not having changed much of anything about the way...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
.,habari ya majukumu wanajamvi.,Nafikiria kununua laptop (brand new) aina hiyo hapo juu naomba wanaofahamu mazuri na mapungufu yake wanijuze.,ukinifahamisha bei na maduka inapoweza kupatikana kwa...
0 Reactions
9 Replies
995 Views
Wadau nimeifuma BB mahala na ina mabando ya kutosha naombeni maelekezo ntazishusha vp muvi,, Karibuni Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kama siku tatu au nne sasa napata tatizo la jf app kwenye simu yangu kila nikifungua inakataa na kuleta message kwamba "check with the forum administrator" sijui hii shida ipo kwangu tu au ni...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Ni External HDD aina gani ambayo ikow well protected (in case ya physical strains/stress kama kuanguka, shockings et al) na bei zake. Nimeona uvivu ku google ilhali kuna watu hapa wa kuuliza ;)
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wataalamu naomba mnisaidie nifanyaje ku crack adobe photoshop cs3 ili niweze kufurahia ulimwengu wa picha. Thankx
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Hello JF Wataalamu wa IT na walio bahatika kufanya zoezi tajwa hapo juu.Naombeni msaada niko na new laptop HP ENYV dv 6. Ina window 8 najaribu kuishusha kwenda window 7. Baada ya kuona inasumbua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nisaidieni keys za office 2013
0 Reactions
2 Replies
521 Views
Wasaalam wakuu, Kuna kirus nmekuwa nikisikia kinafanya mafile na mafolder yote kweny flash disk kuwa shortcut. Sasa yamenikuta leo nipo kweny semina Morogoro nmempa flash mwanasemina mwenzangu...
0 Reactions
7 Replies
877 Views
wengi wetu tunazijua simu za nokia asha kama feature phone simu ambazo ni ndogo na zisizo na nguvu, lakini mambo yamebadilika sasa nokia wameijenga upya operating system yao ya asha (Nokia Asha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kutokana na watumiaji wa jamiiforums kukumbana na ujumbe "Invalid Redirect URL (http://jamiiforums.com)" kila wanapologin na kila mtu amekuwa na lake lakusema nimeona niandike suggestions...
10 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom