jaman nina computer kubwa aina ya dell tatizo lake ni kuwa haiwaki ili nitumie,
nikiconect waya wa umeme then nika bonyeza hii power on button haiwaki badala yake ile botton inawaka taa yenye rang...
Heshima kwenu viongozi
Natatizo Internet Explorer hai connect inanipa msg kuwa Internet download manager is registered for 30 days naomba msaada nifanyeje ili ni download free au nipate code nomba...
Salaam wote!
Wakuu ninasumbuliwa kwamuda mrefu sasa na vijimatangazo kwenye web-browser (IE10 na FFX 20) ambavyo vinajitokeza upande wa chini kulia au kushoto..tazama attachment. naombeni msaada...
Turns out that the elusive Fountain of Youth may exist after all … in our heads.
Scientists at the Albert Einstein School of Medicine say they've discovered a brain region that may control...
Habari wana jamvi..
Karibuni katika mjadala huu wa wazi. Nimekua nikijiuliza sababu zinazosababisha website kuwa hacked, lakini sijapata jibu kamili. Je ni loopholes zinazosababishwa na...
Nataka kununua smartphone ambayo haina usumbufu kama ninaopata ktk iphone 3g( hii haisapoti whatsapp wala fb).
Nataka kununua cm ambayo itasapot mitandao common ya kijamii(...
Wakuu, natumia simu ( NOKIA E72 ). Nimeingia kwenye blog yangu nimeweza kufanya kila kitu ikiwemo kuapload my profile picture. Sasa tatizo nashindwa kupost ( New posts ) . Mwenye kujua kunisaidia...
Shodan's John Matherly discusses how the seach engine differentiates itself from Google and Yahoo. He speaks with Emily Chang on Bloomberg Television's "Bloomberg West." (Source: Bloomberg).. Lets...
wakuu..kuna mambo nahitaji kueleweshwa kuhusu kutengeneza matangazo..naomba mtu mwenye ujuzi huu anisaidie..nataka kudesign tangazo la gazeti..tv na la internet and i dont know even where to...
Habari zenu wadau wa jamvi hili,
Nataka kununua Laptop acer aspire 5733 mpya kwa yeyote mwenye uzoefu nayo au anatumia sasa hivi naomba anijuze tafadhali ili nisiingie chaka.
Natanguliza shukrani.
Wakuu na wataalamu wa maswala ya compyuter,hv hamjafanya utafiti na kugundua kuwa tupo mamia ya watu tunaoitaji kujua mambo ya IT sana?
Mfano mimi napenda sana kujua jinsi com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.