MY NAME-HAJI RASHID AMANI.
DAR-ES-SALAAM IS MY HOME CITY
MY PROFILE-MORE THEN 15 YEARS IN COMPUTER SCIENCE STARTED 1998-2013
SINCE THAN I TRANSFORMED MYSELF TO A COMPUTER MAN, NOW I AM SELF...
Wakuu wenzangu wake mnaotumia TECNO ANDROID PHONES, kama TECNO T1, TECNO N3 na sasa limeingia jembe moja la hatari... TECNO N7, unaweza ku-root simu yako na ku clock up performance ya simu yako...
Ndugu wana board,ninatumia window 7 ultimate kwenye laptop yangu ambayo ni Dell,lakini cha kushangaza ni kwamba local disk C inaongezeka bila ya kuinstall program yoyote ile na siko online kusema...
kuna kipindi tulikua tunazungumzia sana network inayoitwa TZ01 wengine tukawa tunasema ni ya zantel na wengine wakawa wanasema ni ya vodacom. hii network ikikaa inasema roaming as if unatumia...
Kama nitakua sahihi, kuna mabadiliko yamefanyika hapa jf, kuanzia unapofungua (ku-loggin in) na hata mwonekano wa maandishi. Tangu mabadiliko hayo yafanyike simu yangu aina ya Nokia...
Wadau nilikua na data zangu muhimu sana kwenye laptop nikazi cut na ku paste kwenye flash disk sasa bahati mbaya imepotea hiyo flash ninawezaje kuzipata tena ? Nimejaribu system recovery imekataa...
natumia modem ya huawei e153 ya airtel mkoan mtwara uku na nikwa mda mrefu 3g network ilikua aipatkan sasa yapita siku tatu sasa imeanza patikana hasa kuanzia jion ila sasa nikiconnect siwezi...
wanajamvi ningependa kufahamu kampuni zingine za simu ambazo wanasoftware zinazoweza kuconnect kati ya simu na kompyuta yako na kuweza kutuma sms,kupiga simu au kupokea na mengine mfano nokia...
Smartphone Zaongoza Kwa Mauzo
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya simu, simu aina ya smartphone zimeuzwa nyingi kuliko simu za kawaida kwa mujibu wa taarifa ya wachambuzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.