Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ninarusha picha kwa kutumia cable sasa nahitaji amplifire yenye nguvu zaidi ya niliyonayo. Au kama kuna njia nyingine naweza kutumia ili kufikisha picha vizuri zaidi. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Wadau pc yangu ilivamiwa na virus ambaye aliathiri program hali iliyopelekea zikawa haziwezi kurun, nilipofanya scanning ilifanikiwa kunasa trojan wawili (2) . Hata hivyo antvirus imeweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wadauNatumia game ya ps2,kwa muda nimekuwa nikitumia cd kucheza game,lakini iliposumbua kuna mtu akanipa flash yenye game ya mpira,ambayo nimeitumia kama miezi mitatu nayo imeleta...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
natumia HP 630 kuna tatito la kujaa kwa loca disc c, mwanzo kulikuwa na free space 57, lakini ghafla imejaa hadi kufikia free space GB 1, naomba msaada kwa mtu anayejua suluhu la tatizo hili
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Habari, Nauza laptop yangu, iko kwenye hali nzuri kabisa, nina matatizo yamenipata na ninahitaji kuyatatua kwa haraka sana, bado naihitaji laptop yangu ila sina budi, battery yake inakaa na chaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna vitu vingine haifanyi jinsi gani ya kuiupdate nokia 2700classic
0 Reactions
1 Replies
945 Views
0 Reactions
0 Replies
239 Views
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Mimi ni mjasiliamali kwa upande wa video shooting. Tatizo langu ni kwamba nime-edit video na baadae kui-burn. Sasa tatizo lake ni kwamba ina-freeze (kuganda), mteja wangu sasa kama vile kitanuka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu ninatumia Linux Mint 64bit kwenye HP yenye RAM 4GB na processor 3GHz lakini tatizo ninaloona ni kwamba PC inakuwa inaheat sana.Yaani PC inaonekana kama inafanya kazi ngumu sana hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kuna file nataka kurirusha sehemu ila size yake haisupportiwi, wakati wa kuupload inakataa, so nataka kujua km kuna software maharumu kwa kazi hiyo au maujanja fulani tu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hivi kuna njia yoyote ya kupata conversation ya skype. nlitia OS upya kwa hii PC sasa ile chat imepotea na mechanism ya windows 7 ilikuwa ile chat inatunzwa kwenye temporary directory ndani ya .db...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Hello wanajamvi naomba msaada kwa anayefahamu Frequency za Sattelite Dish likiwa kwenye mtindo kama beseni. Ukubwa wa Dish ni 6x6 na nipo maeneo ya Old Forest-BOT. Nina Zuku na Startimes bt...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu nina mini notebook aina ya eMachine eM350 series amayo nikiwasha indicator yake inawaka kuonyesha kwamba ipo on pia processor fan inazunguka tatizo Display haionyeshi kitu yaani haiwaki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
msaada wadau mwenye kujua matatizo na uimara wa aina hii ya laptop anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta fundi anaeweza ku unlock htc pc36100..haina lain..plz nisaidieni
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Nahitaji kuhama toka TTCL mobile broadband kwenda Zantel (2gb kwa Ths 10,000 is very appealing) TTCL wamelock modem zao (Mobile parter), nataka iwe sim-free, how do i go about?
0 Reactions
20 Replies
7K Views
mh wadau hapo nimecheka mh naomba idea jamani..!!
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Bizarre Mars Mountain Possibly Built by Wind, Not WaterBy Mike Wall | SPACE.com – 22 hrs ago Email Share201 Share6 Print View PhotoAssociated Press/NASA/JPL-Caltech/MSSS - In this...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Back
Top Bottom