Wadau natumaini mpo powa pande hizi
Pc yangu windows7 inabidi ni pige chini windows na kuweka upya, sasa tatizo langu nina vimeo vyangu viwili Old school BB curve 8310 na Iphone 3g nimefanya...
natumia huawei ideos u8150, ni
video player ipi itaniwezesha
kuplay HD video bilateral matata?
nilitumia dolphin video player yenye icon ya green , ila nilifuta nilipo update Tom, sasa siipati...
Mafundisho haya yanaelezea jinsi ya kutengeneza forums kwenye joomla kwa kutumia kunena. Tunaanza na jinsi ya kuipata, kuisimika na mwisho n jinsi ya kuichunga Kunena. Mwisho wa siku unakuwa na...
kikundi cha hackers kimekamatwa kwa tuhuma ya kuiba zaidi ya 67 bilioni baada ya kuhack system za benki na kubadilisha vijifiga ndani ya akaunt zao hackersss nouma
source 8 charged in $45...
naomba msaada tatizo ni nini kati ya display imekufa au mkanda wa connection kati ya screen na motherboard? coz inaonesha mistari mistari then inabadilika inakuwa nyeupe kabisa msaada wenu...
wakuu ni printer gani coloured ya bei nafuu isiyosumbua kwenye ujazaji wa wino.dah nimenunua hp photosmart 6510 inasumbua sana kwenye ujazaji wa wino mara nyingine inagoma kabisa kuprint
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu,pc aina ya samsung ukiiwasha inawaka then ikifika sehemu ya ku load windows inazima na kuwaka tena,inazima tena na kuwaka...
Nahitaj simu mpya ila iwe inameet conditions zifuatazo:
1.High quality music(Kwa wanaopenda muzik watanielewa,mfano Nokia xpressmusic ina quality ya juu sana ya muzik kuliko hata Nokia C3 japo C3...
Wa JF, nimeinstall Arc GIS 9.3 sasa katika harakati ya kuingiza licence (ni ya kuchakachua) naambiwa Failed to change FLEXIm Licence Server. You need to be an administrator to perform this...
Natafuta fundi mzuri wa laptop, ina shida kwenye charging, haiwaki kabisa.
Nimeenda kwa mafundi wamechemsha na yawezekana wameharibu hata vingine.
Nimeipata mwaka jana haijachoka.
Tafadhali kama...
Salam !
Naomba kwenye kujua tatizo laweza kuwa ninni
maana hapo mwanzo nilikuwa nafungua vizuri
Mail,ingawa hii simu wakati nainunua mpya
ilikuwa na Opera Min ingawa sikuwa naitumia
kwa...
Heshima mbele wakuu!
Natumia Macbook na natumia Nokia E71 kama wireless router. Tatizo ni kuwa naweza kusurf kwenye internet bila shida ila internet hiyo haitumiki kwenye outlook ambayo ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.