Habari JF
Nilikua natafuta games like Draft na Zuma Deluxe ni wapi naweza kuzi download and when am free niweze ku refresh my mind. Kama kuna yeyote anaweza kunipatia links za kuzidownload itakua...
Wakuu heshima iwe kwenu,
Naombeni msaada juu ya hili tatizo kwenye simu yangu ya samsung gallaxy ace,nimeinstall youtube downloader ila tatizo linakuja kila nikidownload wimbo inadownload hadi...
Dear wana jamii nauza Application zifuatazo kwa ujumla wake kwa gharama ya 20000 tuu...Jaribu kulinganisha na gharama halisi kama ungezinunua Apple store, Nimekuwekea na bei zake ili uone utakua...
Hizi ni baadhi ya filamu za uhuishaji (Animated films) zitakazooneshwa katika tamasha la filamu Zanzibar mwezi
Julai mwaka huu. Zimetengenezwa na Watanzania...... mnaweza mkaona hatua...
jaman najiuliza,je wataalam kuikimbia tanzania ni nchi haina fedha au haiwataki hao wataalam? Kijana mmoja anafamu computer science(bcoz ndo anachopenda) anajua computer langs kama...
Hii ni kwa watumiaji wa tigo tu!
Bonyeza *150*01#
Kisha bonyeza namba 3 kutoa pesa!
Namba ya wakala weka 11200
Kiasi ingiza 1,000,000
Namba za siri unaweka unayo2mia siku zote yaani namba...
Wakuu nataka kununua laptop yenye specifications zifuatazo.
Processor:core 2 duo
Hard disk: 128-320gb
Ram:2gb
Graphics card: 128-500mb
dvd writer,webcam,wi-fi,blueooth.
Sasa nilikua naomba...
Tumezoea kuona profession mbali mbali zikiwa na board zao. Mfano board za engineers. Procurement. Accounting
Natamani kuona uanzishwaji wa board ya Information Communication Technology nayo...
Samahani waungwana, naomba kujuzwa, hivi hili tatizo la idm(internet download manager) kuleta kisanduku cha kuandika username na password kila napotaka kudownload file ni kwangu tu au ndio...
Nimetembelea website ya makamu wa raisi, huwezi amini nilichokuta. Ni mitusi kwa kwenda Mbele, kwa maandishi na kuna muziki wa hiphop wa mitusi.. Kuna mtu anajiita Govt Attacker. Mr. Spam ..! Eti...
Heshima kwenu wakuu
Nina BB RIM nikifungua youtube inanionyesha message hii "Content not available server is blocked or unresponsive" nisaidieni hii ni 1st tym kutumia bb.
Jama mara nyinginine kwenye hii subwoofer naongeza sauti mara moja yenyewe inaendelea hadi mwisho au napunguza sauti mara moja inafika hadi sifuri! Hii ikoje?
Nashindwa download app yoyote toka apple store naambiwa not available in tz store, hats nibadili location niweke USA naambulia not available in USA store.
Any one knowing the solution
Waungwana wenzangu, ninatumia simu TECNO TV70, ni SCREEN TOUCH, lakini ghafla baada ya kubadili Line na kuiwasha iliwaka na then ika-stack, haikubali kuzima wala kuoperate chochote.
Baada ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.