Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hi, Ninatumia laptop ya Gateway inatumia Bios ya Phoenix, kwenye Advance Menu kuna iterm 3 tu .... nashindwa kubadilisha vitu vingi kama Hdd Mode from RAID to IDE... msaada tafadhali!!
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Namba kwa mtu yeyote anayejua set up za email. Naomba nijue mnafanyaje ili kila napo tuma email zangu kwa watu mbalimbali ziwe zinaapia na full address kwa chini bila kuwa naandika mara kwa mara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina iPhone tajwa hapo juu Ila nikitaka kudownload hata free application Kama whatsapp, fb au jf inaniambia requires ios 4.1 sasa apo sielewi hii ios una upgrade vipi na mwenye ujuzi jins ya kuona...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ni chuo gani kizuri Tanzania kinachotoa CIsco networking course?
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Wadau nina macbook yangu nyeupe ambayo inasumbua baadhi ya keys zake. Nahitaji kuwa recommended kwa fundi ambaye anajua anachofanya ikija kwenye masuala ya Mac. Tafadhali ni PM namba ya mhusika
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa yeyeto anaefahamu, Sim card ina contacts zangu kibao, ila naiweka kwenye hiyo Samsung Tab majina hayaonekani, wana JF msaada juu ya hilo tatizo, au ndio hawezekani?? Contacts mpya zina display...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
kwanza nashukuru wadau kwa misaada na elimu mnazotoa nina simu yangu ya nokia nimeweka joiku ili inisaidie kupata aces ya net kwenye vit kama laptop na tablet.tatizo langu ni kwamba haidetect kwa...
0 Reactions
4 Replies
957 Views
Wakuu natumai hamjambo, naomba msaada wa software ya vpn, hii inatumika kufungua zile site zilizozuiliwa kufunguka kwa sababu moja au nyingine, naomba mtu aliyonayo aiweke kwenye hili jukwaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu technologia inakua nami Nimepata bahati ya kupata ipad,.naomba mnisaidie ndugu zangu kujiregister ili niweze kudownload application mbalimbali,.nimejitahidi lakini kuna sehemu nafika...
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Habari za jioni wadau,nina printer yangu aina ya hp 1220c, cd installation yake nimepoteza,nifanyeje wadau
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Hey guys im here to bring you a so called Freedom of Life. wanna get Any iOS or Almost all for free? follow me and i will show you how to get it. technology updates
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Habari za leo wana jamvi, Modem yangu ya tigo haidetect kwenye UBUNTU OS, mwenye setting zake anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
576 Views
wandugu naomba mwongozo kuhusu ebay.. ivi niknunua kitu ebay kitanifikiaje kama naishi mkoan i.e mbal na dar. na katika option za malipo je unaweza kutumia westernunion? naomba kusaidiwa.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, nisaidieni nipate JF application kwenye app store ya iphone, nilikua nayo hapo zamani but saivi naitafuta kwenye app store siioni
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Ndugu technologia inakua nami Nimepata bahati ya kupata ipad,.naomba mnisaidie ndugu zangu kujiregister ili niweze kudownload application mbalimbali,.nimejitahidi lakini kuna sehemu nafika...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Salamu wakuu. naomba kujuzwa kuna disadvantages gani kutengeneza website kwa kubase plainly on html5 na css? content za hiyo website mainly ni media. Shukran!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WAKUU kuna hii post nime itafuta kwa njia ya,,, site:jamii... lkn sikufanikiwa lkn kuna mdau aliiweka basi anaiyeikumbuka ani link au anayejua anisaidie ....na-run win 8 pro kwa partion 2...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombei msaada jinsi yakuweka whatsapp kwenye samsung GT-C3312 nimeshindwa.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wakuu nisaidieni cha kufanya, nimedownload firmware ya strong receiver model SRT 4663x, sasa nimeenda kwenye menu baada ya kuweka USB nimeclick data transfer ikafungua USB then nika select program...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
habari zenu wadau wa jamii forums.natanguliza heshima kwenu wote.mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika idara ya uhandisi wa umeme na niko katika mahangaiko ya kutafuta maeneo ambayo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom