The world is in progress looking for truth of our world. Innovations in technology will be the only way to take us higher.
Big up South Africa to host this huge project of the Earth
habar wanajanv
tatizo la simu internal memory kujaa kwa huawei android na samsung min galaxy..
ni vip kuliepuka
nmeambiwa rooting inahitajika
msaada pliz
Ndugu zangu.
Nimenunua hii device nilipokuwa kwneye dafari za nje ya nchi.
Sasa najiuliza, nitafanyaje ili niweze kuitumia hapa Tanzania?
Maana naona kama vile haina sim card, ila ina sehemu ya...
Haya tena kwa Wale Wapenzi Wa Apple Macintosh kama mimi kitu hicho hapo chini maelezo yake yapo hapo fuatilia kwa makini jinsi ya kuiweka hiyo Latest Leon 10.7 Final waliyotoa Apple store haya...
Kwa wa muda mrefu sana nimekuwa nikisoma sana taarifa mbalimbali za mtandao huu wa Jamiiforums,
kabla ya kuamua kujiunga baadae sana.Pamoja na kushiriki katika majukwaa tofauti humu JF,lakini...
Wakuu cjui kama hii kitu mnaijua
Katika pita pita yangu nimeona kwamba unaweza ku-run android apps katika pc e.g WhatApp etc
Kwa atakaye kuwa interested
for windows 8 ENJOY IT
for other...
We hear the same terms bandied about whenever a popular site gets hacked. You know SQL Injection, cross site scripting, that kind of thing. But what do these things mean? Is hacking really as...
Get smart: Charge your phone while walking in this shoe | Crave - CNET
Love walking and texting? Still haven't done a faceplant on a streetlight? Well, this sneaker from Kenya can power your...
Ni dell optiplex 390. Ni baada ya kuondoa windows 7 na kuweka windows xp. Picha inacheza ila sound haitoi na nyimbo pia. Nilipocheki settings nimegundua kuwa kwenye sounds and audio devices...
Wanandugu/wanajamii ni kipindi kirefu sasa ninatumia wajanja night offer inayoanza saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi.
Nilichogundua ni kwamba hii offer inakuwa active ndani ya 24 hrs ila wamezuia...
HABARI WANA JF NINA TTZO KIDOG KUNA JAMAA JINA NAFICHA ALIJARIBU KUNIHACK AC YANGU YA FB NA PIA HATA BLOG YANGU LAKIN NIKAMUWAHI KWENYE BLOG YANGU ILIKUJA MS HII KWENYE GMAIL AC YA KAMA IFUATAVYO...
Ni simu yangu niliinunua 2 years back. password ya kufungua simu naifahamu, ila kuna mtu aliichezea kwa kujaribu kuifungua, kisha ikajifunga. TOO MANY PATTERN ATTEMPTS! Now inahitaji ni sign in...
Jamani wanajamvi habari ya saa hizi??mi nauliza ni kweli window 8 haishiki virus?? na kama inashika ni ipi antivirus yake maana nimejaribu karspesky imegoma kusapoti...
nawasilisha!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.