I've been shaking the damnation out some Greatful Dead. Discovered this cool application called Tunebash that permits you to find any maestro, melodies, interface with companions through social...
habar wakuu,natumia simu ya Nokia N73,inafanya kazi vzuri,lakini ninapotaka kutazama video you tube inaandika "define default access point first" mwenye ujuz tafadhali naomba anisaidie.natangulza...
natumia nokia 6300 kila nikijaribu kusave page(kitu chochote) kwakutumia operamini naambiwa 'application access set to not allowed', ivyo nashindwa kusave kitu nachohitaji. Naombeni msaada wenu...
Baada ya kuulizia nikaelekezwa kwamb nitume neno ALL kwenda 232 lakini sijafanikiwa chochote..zaid ya kutumia EDGE na GPRS yan ni slow san.......
Naomba weny ufaham wa hili wanisaidie tafadhari....
Habari zenu wana jamvi nilikuwa natafuta software ambayo naweza ku make call wakati nimeweka line yangu kwenye modem, katika kutafuta nimekuta na hii kitu Beetel connection Manager, Ila kila...
Wandugu naombeni msaada ya ku-load files kubwa kubwa mpaka 1GB kwenye net na kuweza kumtumia mtu mfano nje ya nchi na yeye aweze ku-download kirahisi. Je kuna software maalum au nifanyeje? Maana...
Nina simu Epress Music 5130c-2,awali nilikuwa naitumia kama modem baada ya muda kama wiki 2 nadhani virus waliingia kwenye simu. Tatizo ni kwamba browser ya kwenye simu imeliwahaipo,media player...
Wadau masaada nimejaribu bila mafanikio jinsi ya ku choose network niki type mtandao siwezi kukonnect, ipo kama inaseach lakini haiconnect tatizo nini?
Jamani simu yangu nikifungua internet inastaki, nimeenda ofisi za voda wananiambia inabidi niiflash. Nimeenda kwa mafundi wa kuflash wananiambia gharama ni 50000/= ambayo ina karibia na...
wakuu,naombeni msaada kwa free uploading site nzuri mnazozijua
Pia nataka modem yangu zte mf190 iwe na upload speed nzuri je,settings naweka je?
kwa sababu nilikuwa na mu uploadia jamaa kitabu...
Amazon Expands Global App Distribution To Nearly 200 Countries
Amazon Media Room: Press Releases
Nchi zote supported
Aland Islands, Cape Verde, Gabon, Liechtenstein, Panama, SurinameAlbania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.