Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nahitaji Battery preferably toka kwa mawakala wa HP aina ya Probook 45xx series. Napenda kujua bei yake pia na mahali Lazima iwe Dsm. Pia Windows 7 Iliyokuja na Laptop imepata shida na nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba msaada wap naweza pata tv tuner za laptop ambazo zna tumika katka usb port
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada jamani nawezaje kuiona CentOS server kwenye windows 7 kama workstation computer ambayo iko kwenye workgroup moja(note:lengo ni kuaccess shared folder lililopo kwenye Samba server)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa kero na balaa kwa hizi decoder za DSTV mpya DSD 3U,kufa upande wa audio(Sauti),ndio tatizo linalokera saana,tofauti na decoder zile za awali kubwa na zenye cover la bati,mbaya zaidi...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
He Did sign facebook account and used my email. Khaa! I changed password. If you are a member here then come back with 10 reasons and I will take it back to you. I will not misuse it but...
0 Reactions
6 Replies
974 Views
Jamani jamani nimefanya installation ya Windows 7 ultimate wiki iliyopita lakini cha ajabu ni kwamba computer imekata sauti kabisa, na pale chini kwenye taskbar speaker imewekewa alama ya X (X...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
niaje jamani nahitaji msahada wa bundle ya internet free tgo
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bandugu duka gani nitapata genuine external backup na multi modem in town kwa reasonable price?
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Wana JF naomba msaada wenu, mnisaidie CD_Key za Windows Vista Ultimate na Windows 7 Ultimate. Nina laptop ya kununua mkononi ambayo imezima OS ikinitaka niweke CD_Key kwa ajili ya ku-activate
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Wadau nimepata habari Alcatel wameanza mambo Tanzania, wapi wakala Alcatel hapa Dar na contacts zao
0 Reactions
0 Replies
803 Views
NAHITAJI LAPTOP DELL/TOSHIBA CORE i7Nahitaji laptop iwe Dell au Toshiba Core i7 processor RAM min 4 gb Naweza pata wapi kwa Dar? Kama unauza nipe no ya simu. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
708 Views
naombeni msaada nackia kuna maujanja ya kuweza kudownload app za iphone za kulipia bila ya malipo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi nisaidie, tablet yangu imegoma kuwaka nimejaribu kuicharge nikifikiri charge imeisha lakini bado haiwaki Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamii nadhani baadhi yetu tumesikia product ya shule direct ilivyotangazwa na kuzinduliwa na naibu waziri wa elimu. Hali iliyofanya kila mtu kua na ham ya kuona iyo innovative product. Sasa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
“One of the biggest challenges a computer owner can face is getting rid of adware or spyware...” Reuters, Feb. 9, 2004 Spyware defined: • Spyware is any application that tracks your online...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
NIMEANGALIA TOVUTI HII Shugulika Recruitment HALAFU NIKAONA HII jobs in Rwanda JE SHUGULIKA AMBAO WAKO TANZANIA NDIO WAMEIBA KAZI YA GLOBALTARGET? KAZI IPO
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HELLOW, WANA JAMII FORUM, Good News kwa watu wenye magari hasa model za EUROPE,Nazo software za Repair(REPAIR MANUAL-PARTS CATALOG SOTWARES) 1-MERCEDES BENZ WIS-EPC GOOD FOR SHOP...
1 Reactions
0 Replies
839 Views
samahani watu wangu naomba kujua kama hzo cd za application mbalimbali kama "Operating system " na "Back up " zinauzwa bei gan coz kuna mtu anataka kuniuzia nying xsana yeye hajui bei nami pia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu katika pitapita zangu za kuhangaika na haya mashaka ya vingamuzi nimekutana na hz decoder used. Naomba mwenye uwelewa atusaidie ss IT alotupitia pembeni. Kweli ukifunga huwa ni free hazina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa sasa imekuwa ni fashion kwa wanunuzi wa laptop kulingishana kwa CORE na bei hupanda kulingana na CORE ya laptop ambazo ni 3 CORE, 5 CORE na hata 11 CORE.. Mi nashauri ni vizuri sana kununua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom