Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
mkuu mimi nina modem ya vodafone k350-z nataka ku unlock lakini haisomi kabisa line ya vodacom, so nashindwa kui unlock, naombeni msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
follow Latest news and technology changes--<<<>>>> technology updates
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Digsby ni app nzuri sana ya pc inakuruhusu kuconnect account zako za email, IM(Instant Messaging) na social networks kwa pamoja. E-Mail: hapa utapata notification ya email muda inapoingia(lakini...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumaini wengi wetu humu ndani wanasoma it na wengine wanataka kuingia it na wengine wanaangalia tu, kimsingi soko la kazi za it hapa bongo bado sio zio zuri sana since hatupo compatible sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomben kujua n jins gan ya kuingia kwenye comand line inteface bila kulog in kwenye computer, na je n jinsi gan naweze kunavigate kutoka local disc C kwenda disc nyngne?
0 Reactions
0 Replies
895 Views
:phone: Wakuu msaada kwa anayejua jinsi ya kuifanya modem ya aitrtel ZTE MF190 iweze kusupport call services, Nimejaribu kuidownload na kutumia Metfone 3g, But nayo ipo vilevile tu kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nataka kujua kuplay keyboard wowote aneweza kunisaidia naomba bc.nipo dar.nawasisha maombi kwenu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba kujua ubora wa simu aina hiyo na bei yake ikiwa mpya hapa tz.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau msaada jinsi ya kupata whatsap for nokia asha 305 thax
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau na magwiji wa Jukwaa hili , salaam! Kwa muda mrefu nakoseshwa raha na Cursor kwenye Laptop yangu! Sina uhakika ni jambo la kawaida kwa Laptop zote au ni kwangu tu! A year ago niliwahi kuleta...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wadau napenda ku share nanyi hii web site TechVideos.com - Learn Photoshop, Flash, Word, Excel, videos coz ina video ambazo unaweza kujifumba mambo mazuri kama, Ms office, Adobe...
1 Reactions
3 Replies
811 Views
Salamu wana JF, ninaomba kujua kwa mtumiaji wa decoda ya DIGITEK. Ni channel zipi zinazopatikana? Maana me sijui kabisa :A S 39: Natanguliza Shukrani..
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nataka kujaribu hii kitu kama itawezekana coz kuna external hdd yangu iliungua nataka kuangalia vitu vilivyomo ndani pc nayotumia ni sata kwa hiyo nataka nichomoe waya unaokwenda kwenye dvd rom...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari.. Najaribu kuisakua new times roman katika office 07 but siipati.. Wapi naitoa..? Maana font inayokuja ni calibri(body) je nikii download naiinstall vipi??
0 Reactions
3 Replies
774 Views
i noticed some new watch technologies of AtomTime. seem pretty cool. wanna share with u guys. first is internet can bring accurate time to the watch. there is a free software and app. just open...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
NA MANDASI BILLIONAIRE MANDASI BILLIONAIRE: Download Usb Disc Security Latest Version With Username and Serial Key USB Disk Security 6.2.0.18 Final Version USB Disk Security 6.2.0.18...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nimeona ni share na nyie haka ka sowtware kafungue kawaida,na siku zote katafungua home page yake kwa ku2mia explorer,na hiyo home page itatumika ku-surf internet kama search engine Kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu msaada hapo ,je DRIVER PACK Itasaidia hapo? Na kama itasaidia basi nijuzeni jinsi ya ku2mia hii driver Pack kama unayo katika format ya ISO IMAGE,hapa naamanisha bila ku-burn kenye cd...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa hili na JF kiujumla mimi mwenzenu nina shida na keys hizo Windows hii ni tamu sana.Tafadhali naomba waungwana kama unaogopa uharamia fanya kuniPM.NATANGULIZA SHUKRANI KWENU.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa anayefahamu Application za Ki-Teknolojia na elektroniki?, mf cnet.com nk ambazo naweza kudownload na kisha kupata habari mbalimbalinza li teknolojia. Natanguliza shukraaani
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Back
Top Bottom