Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nashukuru kwa admin wa forum hii kuniruhusu au kunipa kibari cha kuungana nanyi wapendwa, tupo pamoja.
0 Reactions
1 Replies
732 Views
yoyote mwenye key za kaspersky 2013 naomba ani PM
0 Reactions
2 Replies
982 Views
wakuu nisaidieni jinsi ya kublock website in server especially windows server 2003,2008,... na ku-access in period of time eg 1800-1600
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Salaam, wakuu. Ninahitaji fundi wa printer (copier machine), aina ya konica minolta bizhub,na xerox work force nipo dar es salaam, nicheki kwa 0762 490 080. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajf.naombeni msaada kama kuna software ya kuifanya smartcad ya dstv inafanye kazi kwenye mpeg4 4669xii nikiilipia hiyo kadi.kwani nina kadi ya dstv ila sina decorder yao.msaada tafadhari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wenye uelewa tafadhali. Naomba ushauri pia juu ya kununua mpya au used kwa bei hiyo. Ikiwa kuna swali nitaweza kulijibu. Pia ikiwa kuna maelezo ya ziada kuhusu swala hilo la video kamera pia...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
New Mars Photos May Reveal 1970s Soviet LanderBy Clara Moskowitz | SPACE.com – 11 hrs ago Email Share Print View PhotoSPACE.com/NASA/JPL-Caltech/Univ. of Arizona - This set of...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
habarg wajf natumia laptop aina ya dell latitude D630 inauwezo wa sim card ila siwezi kuitumia ninaomba msaada kwa anayejua ni program gani naweza tumia kuconnect na intanet
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf naomba mnisaidie jinsi ya kutumia simu kama mordem!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu kwa anayejua,hivi ni kweli uchezaji wa games kama pess,fifa na ma game mengineyo kwenye pc kunasababisha matatizo kwenye pc? Kwa sababu kuna maneno yameenea kwamba kucheza...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
hi,jf users..!nilikuwa naomba msaada kwa wanaofahamu kama kuna namna ya kuloggin in facebook au twitter bila password...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye kufaham jinsi ya kuzipata contacts za cm (iphone) iliyopotea through icloud naomba msaada na kama inawezekana kuzipata kw kutumia device nyingne zaid ya zile za Apple. Ntashkuru
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti jamani inawezekana kuendelea kudownload na kustream hata kma bando lako limeisha mfano lile la siku la 500 unapewa unlimited lakini ukifika mb kazaa unaambiwa kifurushi kimekwisha.kama mtu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii Bundle ya Voda One week Unlimited kwa 10,000/- Naomba kujua inakuwa na Ujazo gani!?? Nauliza hivyo kwa sababu niliinunua juzi, siku za mwanzo ikawa inanipa maspeed ya Ajabu hadi 3.8Mbps...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Acheni kushabikia mambo ambayo hayajakizi kiwango ama havina hadhi ambayo jamii ingetaraji,niliposikia shuledirect.com inapewa promo na Clouds fm na kua imezinduliwa na waziri wa elimu akisema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naombeni mnisaidie kuna baadhi ya Number sitaki zikinipigia wala kuniandikia SMS zinipate natumia program gani,, niliambiwa kuwa watu wanaotumia samsung galax wanaweza fanya hii kitu ila...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Inahitajika hii Router kwa Yoyote mwenye Nayo ikiwa katika hali nzuri. Offer yangu ni 160,000 Mwenye Nayo ani PM Haraka. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu naombeni msaada kutoka kwa yeyeto mwenye kufamu juu ya hli,modem yangu nikiiplug tu kwenye mashine ina soma na sim inserted or niweka ambayo sio ya airtel. Sasa tatizo hli limeninyima...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Wadau naomba msaada hapa najua mna roho za kiungwana bila kukejeri nilitumia bb 8520 mwanzo bila tatizo mpaka nilipoibiwa uswahilini bila kugundua, nimehangaika nikapata pesa kiasi nimeingia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nataka nifungue website yangu,ambayo imekaa kibiashara zaidi,sasa mpaka leo sijajua methods nzuri za kuwa paid online,,nimeona paypal hawa support payment kuwa received when in Tanzania Kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom