Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana Jamvi, baada ya kusikia Vodacom modem inasifiwa sana, hivi majuzi nikainunua! Tangu ninunune, i've realized kwamba, this's the worst modem i've ever used in my life.....kwa speed, inaachwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Siwezi kufanya Windows updates,napata error hiyo hapo juu. Tangu jana nimejaribu bila mafanikio.!! Help please!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba ushauri katika kuchagua internet company. I need cheapest available option . monthly unlimited airtel wanasema elfu 30, ni kweli unlimited au ?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
how to watch dstv on android free?
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Wakuu nisaidieni jinsi ya kujua source codes za programs, especially programs written in C++
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hv jaman mbna me cku kama mbil zmepita yan niknunua kifurush wanakomb muda mfupi wanamaliza wakati zaman nilikuwa niknunua 25mb nilikuwa hadi na bakisaha,na huwa c downloda ni kwaajil ya ku surf...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
msaada wadau.wapangaji wangu wanadai mimi natumia sana umeme......je nifunge kifaa gani kuainisha matumizi yangu?
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Wakuu, nina Batery kubwa ya gari kama ile ya TREKTA au ya SCANIA, arafu pia nina Laptop yangu. Sasa nataka niitumie hii Laptop kwa kutumia hii Baterry. Je, kuna kifaa cha kuongezea hapo ili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/429141-facebook-home-for-android.html hii post juzi mkuu @C6, kaweka juzi kuongelea kuhusu Facebook Home. according to fb, hii app...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nimejaribu kugoogle ila nimeangukia patupu naomba msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajamii, naomba kujuzwa ni ANTIVIRUS ipi ni best kwa phone? Na ni OFFICE APP ipi ni best kwa phone? Natumia TECNO N3 (Android). Nawasilisha!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wanaosadikika kuwa ni wahuni wa kitechnolojia wameonekana kutenda mambo yao katika Official website ya Daddy wa muziki wa rap Tanzania, Proffesa Jay http://www.professorjaytz.com/ ambayo kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa na-download file lenye ukubwa wa GB 6 kwa kutumia uttorent na likaenda mpaka asilimia 63, nika-pause downloading na ku-restart machine kwani niliona kuna network slow down, cha ajabu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
tembelea bluestacks.com then fuata maelekezo ukishindwa ni inbox
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nina laptop hp 655 & windows 8 genuine. Kuna tatzo kwenye wifi, wlan na network. Wifi hai function probably cz kuna drivers zina miss. Naombeni mnishauri ni wapi ntapata driver zake...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Wakuu nimejaribu kutuma Neno Wap Nokia 6030 kwenda 15300 (vodacom), ila cha ajabu wananiambia watanitumia sms ndiyo inakuwa nitolee hiyo. Nimejaribu kutuma the same text kwenye Nokia E72...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
npo na update ila inaniambia2 your 4n is up2date currnt sftwea version 7.10 ila hmna knachoendlea wala kbadlka kwen cm
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Kwa wenye uzoefu na hilo au wanaojua, mnisaidie tafadhali. Naomba pia link ili niidownload. Nilishadownload app mbili lakini naona haziridhishi utendaji wake. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
krishnajacalan@yahoo.com 4f96aa65a6eba89b4e3a918e2115ef01 jay_ruta@yahoo.com 07bcff2047db3519b2c3f677e94ccb16 jopae0823@gmail.com 66857918e79cea3b0f1a231570990fcb karlosabello@yahoo.com...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika Pitapita Zangu Leo Asubuhi Nimekuta Kwenye Menu Ya Voda Bado Wameandika Hivi "Nunua Twitter,Facebook na Wikipidia bando tsh 100{500MB siku 1} na tsh 1000{3GB siku 30} Nikajaribu kununua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom