Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Sasa zile dakika 15 za extreme unaweza kupiga mtandoa wowote ,
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomben mwenye kufahamu jinsi ya kupata graphic drivers kwa window 8 na jinsi ya kufanya window diffender kufanya kaz anijuze ndugu zangu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu,nafanya kazi vijijini na naomba msaada wa ushauri kwa simu inayoweza kunisaidia ku access mail,download some files/attachment. Nimeiona hii android ya HUwaei inayouzwa na tigo na bei yake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada natumia Blackberry curve 9300 3G,naomba msaada namna ya kuweka picha katika profile yangu au paka katika pc? Mr Arsenal
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Raha ya hii tarehe ya leo ni uongo mwingi. Na google mwaka huu wamekuja na uongo wa style yake wakauita google nose; yaani ukitafuta harufu ya kitu chochote kwenye simu au computer yako google...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu msaada katika idm...kila nikitaka kupakua kitu chochote naletewa huo ujumbe...nimeunstall nikainstall upya lakini wapi...asanteni
0 Reactions
0 Replies
953 Views
salaam wana jamii tafadhali naomba msaada wenu wanajamii kama kuna mdau anawezakuwa na software ya Myob accounting package kuanzia version 13 paka 20.nimetafuta kwenye internet lakini sipati na...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Habari wanajf. Nina simu aina ya Nokia 2700 classic, mwanzo nilikuwa nasign in bila tatzo katika mtandao wa Yahoo. Lakini kuanzia mwezi january kila nikijarbu kusign in inaandika hivi ''We can not...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada, nahitaji king'amuzi cha digitek. Wapi naweza kipata? Nimejaribu kuchek kwenye website yao, namba ya simu haipatikani. Shukrani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamii, habari!! Naombeni msaada. Kuna jamaa yangu ameniletea simu yake yenye android, samsung galaxy 2, na kuniomba nimuelekeze namna ya kujiunga na kutumia watsup (sina uhakika kama ndo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumia hita kila baada ya wiki kadhaa inayeyuka, nimejaribu kuweka pamoja na multi plug ya tronic ila bado imeyeyuka je nitumie ipi jamani? Kuna jamaa kanishauri nijaribu socket switch ambayo ni...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
katika michakato ya kujiridhisha kuhusu faida na hasara za teknolojia nikakutana na hii kali ya laptop kuweza kusababisha ugonjwa wa kansa ya ngozi sehemu ya goti. Naomba ufafanuzi wadau wa tech..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samsung Galaxy S4 ndio simu ya kwanza kuwa na prosesa aina ya Exynos 5 yenye core 8 (Octa), ambayo ndio prosesa yenye nguvu kuliko zote katika soko la simu kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam.... Tafadhali, Anae faham desktop manager kwa ajili ya PSP anipe link, Na kama kuna maujanja mengine sio mbaya ukinipa juu ya hii psp. Asante
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Wadau nilikuwa na restore setting umeme ukakatika machine ikazima kuja kuiwasha baaada ya umeme kurudi kuiwasha inafanya window repair hile winow repair inashindwa kurepair hivi inawezekana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Data Recovery and Repair Tools Losing important data can be a nightmare. Depending on your particular problem, try out the software below. With a free scan you can see what it comes up with...
1 Reactions
0 Replies
943 Views
:A S 39: Msaada wakuu kwa anayejua jinsi ya kuandaa bootable flash disk ya windows 8 :frusty:
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MAR 30 iPad Kuendelea Kutamba Kwa Mauzo Ipad ndio tableti inayoongoza kwa mauzo katika soko Ulimwenguni kwa sasa, ingawa hisa ya mauzo ya tableti hii inaendelea kushuka mwaka hadi mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Google wametangaza rasmi na kusajili washiriki wa mkutano wao mkuu wa mwaka huu unaojulikana kama Google I/O 13. Mkutano huo utafanyika Moscone Center, San Fransisco kuanzia tarehe 15 - 17 mwezi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya kuona machine inakuwa nzitio sana niliamua kuifanyia defragmentation kwakweli angalau imekuwa na speed kidogo lakini tatizo lakini niweka moderm ya inetrnet sipati signal kabisa ina soma...
0 Reactions
5 Replies
970 Views
Back
Top Bottom