Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Je simu ya SAMSUNG E2222 inaweza ku- support whatsapp application? Na kama inaweza, ni website gani nitaipata hiyo Application?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I've been using window 7 on my pc for a couple of months. Some weeks ago, a notification saying 'SBUpdate Module has stopped working' started coming up every couple of hours. I don't remember when...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu msaada nikitaka 2mia nero au ashampoo kuburn inaniambia no compatible cd recorder found
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Wakuu, Heshima kwenu ! Nawaomba mnisaidie jambo. Mimi nilikuwa natumia Black Berry na imepotea kwasasa lakini nnapata mashaka sana kwamba labda kupitia PIN NUMBER ambayo haiwezi kubadilika labda...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
.. "msconfig" or "Microsoft System Configuration Utility" is designed to help you to troubleshoot problems with your computer. This allows you to edit your start-up applications. "msconfig"...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi naulizia upatikanaji wa lamp ya projector aina panasonic model PT-LC56E yangu inakaribia kuisha muda kwani imebakisha masaa kama 100 hivi nahitaji kujua wapi ntaipata hapa tz na kwa...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Hivi hii ni kweli? naomba majibu ya kitaalam hapa
0 Reactions
32 Replies
7K Views
naombeni msaada wa jinsi ya kuflash na software yake kwa simu ya blackberry curve 8520
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I hesitate to send this, because you may not get anything done the rest of the day once you start looking at it! I HAVE NEVER SEEN ANYTHING LIKE THIS....YOU WOULD NEVER HAVE TO GET ON A...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
I hesitate to send this, because you may not get anything done the rest of the day once you start looking at it! I HAVE NEVER SEEN ANYTHING LIKE THIS....YOU WOULD NEVER HAVE TO GET ON A...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
wakuu natumia win 7 ultimate, tatizo ni kwamba napojaribu kuingia kwenye Guest account inanijibu Group Police Client Failed The Log on, na mara nyingine inajibu Access Denied. Nikaamua kutengeneza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tukija kwenye swala la network hakuna jambo la msingi kama kuweka network yako katika hali ya usalama. Tunapoongelea usalama wa network kwa kawaida wengi wetu huwa tunafokasi kwenye usalama wa...
10 Reactions
47 Replies
5K Views
MAR 28 Google reader kipenzi cha wengi ipo kwenye mashine ya kuokolea maisha (life supporting machine) na Google imetangaza kuwa mwezi wa saba mwaka huu mashine hizo zitazimwa, huo ndio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani na furahi sana kuungana nanyi katika jamii ya watu makini kama nyie . Mungu awabarikisana. Bila kusahau wadau natafuta kazi ya TUTORIAL ASSISTANT IN MATHEMATICS OR COMPMUTER SCIENCE.
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Habari wana jf, Kama thread inavyojieleza ni kwamba nataka kununua ipad 4 au samsung galaxy note 10.1, naomba kwa ambae ameishatumia hizi gadgets au anayezifahamu vizuri anielezee ipi ni nzuri...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ninataka kutengeneza micro SIM card kwa ajili ya laini ya Airtel. Wapi huduma hii inapatikana na gharama zake zikoje? Ahsante.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kama upo dar' jipatie Universal Modem kwa Tsh.35,000/= bila usumbufu wa kuanza ku'unlock or what... Model yake 3.5G, HSPA. Speed 7.2Mbps (HSDPA). Ina'slots mbili...moja kwa'ajili ya line yako...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
HUAWEI Ascend Y200, U8655-1 ....... ilillockiwa na mtandao wa tigo ila bahati mbaya sikulijua hilo na nilipobadilisha chip kuweka nyingine (ya voda) ikanidai (SIM network unlock PIN) ... bila...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Naombeni mnijuze kama SAMSUNG E2222 inaweza kusupport Flash Player yoyote, na nitaipata wapi???
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Naombeni msaada wenu Nina BlackBerry Bold Ila tatizo lake huwa nikifunguwa DATA Services kwa ajli ya Network Inaanza kupata Moto sana Mpaka Naogopa Nimesha Badilisha Betri maranyingi ila tatizo...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Back
Top Bottom