Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani niko na movie ya fast and farrious 6 but iko ziped any who have the password please naomba
0 Reactions
4 Replies
1K Views
For more information visit The Smartphone Reinvented Around You | Windows Phone (United States)
0 Reactions
6 Replies
3K Views
25/03/2013 Mwaka 2013 kwenye ulimwengu wa teknolojia ni mwaka wa gajeti za kuvaa (wearable tech). Kampuni kubwa zote zimeshaingia kwenye uwanja huu; Tetesi za iWatch ya Apple, Google...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wakuu! natumai muu wazima wa afya kabisa! ebana naombeni kwa yeyote humu anasaidie! nime-format laptop yangu na kuingiza windows tajwa hapo juu! baadae nkaa-update missing drivers nkapata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wandugu mwenye Adobe CS4 Indesign, Version 6 anisaidie download link tafadhali maana hii niliyokuwa natumia kumbe ilikuwa ya trial hivyo imegoma inadai serial number. Msaada bandugu. :crying...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
habari ya leo waungwana,nina tatizo katika simu ya mtu wangu wa karibu sana,ana simu ya samsung GT-s5300.akamuazima mtu mwingine,sasa yule mtu akaizima ile simu,walipoiwasha tena wakakutana na...
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Wakuu katika kupitapita mtandaoni nikasoma info kuhusu JamiiForums kwamba expire date yake ni 2015. Sasa nauliza ikiexpire ndio kwaheri moja kwa moja au kuna namna ya kuiactivate tena?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
natafta hp nko dom nina 300
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Microsoft office 2013 is the most awaited software from Microsoft Windows. Microsoft released MS Office Professional Plus 2013 & Consumer Preview Beta version pack. bofya hapa ku download
1 Reactions
1 Replies
2K Views
23/03/2013 Samsung Galaxy S4 inatarajiwa kuingia madukani mwezi ujao, simu ambayo tayari imeshatabiriwa kufanya mauzo makubwa mno mwaka huu kutokana na uzuri wake. Hata hivyo uhondo wa simu hiyo...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
natafta hp niko dom nina 300000
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of Computer science. Ni mzima sana katika matatizo ya computer. Kifupi ni kwamba, sishindwi na tatizo lolote la computer. Kwa anayehitaji msaada wa kiufundi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hbr, leo nimepita sehemu nikaona huu ungo,je ni wa kazi gani? Channel au internet? Maana kwa pemben naona wanatazama AXN..je ni FTA?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi, jana niliinstal UBUNTU linux kwene laptop yangu. Kukawa na OS mbili yaan UBUNTU na WINDOW 7. Baadae nikataka niitoe win 7 niweke win 8. Wakat nainstal win 8 ilistack nikaamua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu ninatumia nokia c3-01,ovi store yangu ilikuwa outdated nikifungua inaniletea current version niupdate lakini nikitaka ku-update ina-fail naambiwa "there is no secure connection"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari yenu wana jamvi, tumetengeza Database application kwa ajili ya kuhifadhi taarifa za watu waliobatizwa. Mtu akibatizwa anasajiliwa kwenye database kwa kuingiza jina lake, tarehe ya kuzaliwa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
As per the latest update received from backbone providers, there is a cable cut in TENorth submarine cable near Aboutalat c/s towards Marseilles in wet segment. The cable cut is at distance of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo wanaJF. Natumia Office Excel 2007. Wakati naendelea na kazi zangu, sijui nimefanya nini, kilichotokea ni kwamba "Sheet tabs", zile ambazo huwa ziko chini ya worksheets, hazionekani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Naombeni msaada, niliinstall word 2013 kwenye laptop yangu, lakini nimeifungua leo imeandika change key na imenipa siku tatu za kuactivate. Naomba aliye na key za MSWord 2013 anipe kwenye...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Teknolojia inakua kila siku duniani. Sayansi ya kubadilisha na kuchanganya Vina saba (DNA) kutoka kwa wanyama kwenda kwa mimea au kutoka aina moja ya mnyama kwenda nyingine imakuwa kadiri siku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom