Ni siku ya tatu leo watu wa Tarime tunalazimishwa kula konokono na ni njia mojawapo ya kumuumiza mteja. Voda mnatuuzia bundle lakini kuzitumia hakuna. Speed kb500/day
habari wadau,
nnataka kustream tukio kutoka kwenye kompyuta yangu kupitia ustream.
nimeweza kustream kwa webcam ila sitatumia webcam, nnachotaka ni kama kustream kipindi cha tv live.
nime...
Medical database. Niweze kuweka
short history of a patient, kuinclude Xray picture na ikiwezekana picha ya mgonjwa.
diagnosis (tatizo la ugonjwa wake)
matibabu, medical or surgical
treatment...
Natanguliza shukrani zangu kwa wanajf.tatizo nililonalo ni kuwa kuna jamaa anataka kuniuzia software cable ya avatar dongle na amesema inatumika kwa mwaka mmoja.wasiwasi wangu ni kuwa mbona kuna...
Wakubwa xamahan xana naomba mnixaidie nahitaji mxaada wenu waku un-lock modem hii ya zte specification hizi hapa HSUPA USA stick. MODEL:MF190 EAN:6934933034433...
Dah,.... nashindwa kupangilia table... ila left ni window 7 na right ni window 8..... ila kwa comparison hizo window 8 ni nzuri sana kwa kwenye startup, shut up, na ina features nyingine nzuri...
Wataalamu wa mambo mpo aisee.. Ebana natafuta Desktop ya kuzugia ghetoni apa kwa ajili ya surfing, movie na mziki kidogo ni sukume siku. Iwe ya spec za chini tu coz kaela changu kadogo sema cha...
jamani naomba msaada mac book yangu ninapo washa haimalizi inaishia kati inaleta logo ya apple halafu inazima hili tatizo lishawahi kunitokezea kwa bahati nilikua na zile cd zake nilizonunulia za...
Nimefurahishwa na ubunifu wa shirika la simu la Airtel...kweli mambo haya yapo ugaibuni ila ni vizuri Airtel kutuletea na sisi.... Yaani kwa sasa Tigo napokea tuu simu, ila kupiga ni airtel tuu...
Helo,jameni memory card yangu inaonekana kwny storage setngs but contents zake hazionekani,nkitaka kuplay music naona tu zile nilizohamishiwa kwa bluetooth zngne czioni,ni htc desire C, yeyote...
habari wana jf kwa mwenye ujuzi wa kuongeza ukubwa wa movie naomba anisaidie. Nina TV aina ya sony flat scream inch 14 inauwezo wa kusoma flash disc but kwenye format ya MPEG tatizo ninapo convert...
20/03/2013
Google wametoa app mpya inayojulikana kama Google Keep. App hiyo ni kwa ajili ya kuandikia vidokezo (notes) kwenye simu au tableti za Android. Hii itasaidia watumiaji wa OS hiyo...
Wakuu,
Naombeni msaada, nauliza kama kuna hii kitu: Jamiiforums Messenger for Window 7 ili niweze kudownload, naona kuna for androids specifically for mobile users. Sasa mi natamani niidownload...
Uchunguzi uliofanywa na wanasayansi umeonesha kwamba mwanga unaotolewa na ipad wakat unopotumia hasa ni wakati wa usiku unafanya mtumiaji kukosa usingizi nakumchochea mtumiaji aendelee kutumia,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.