Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu naomba msaada wa codes za TV ya SONY kwa ajili ya hii remote control au mwenye manual au kuiwezea kutumia hii kitu asaidie UNIVERSAL REMOTE CONTROL 10-1 AV10 Shukran
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Nilidownload Activator ya windows 8 pro na avast antivirus ikaidetect kuwa ni kirusi nikaamua kuzima antivirus na ikakubali na windows ikawa activated niliporestart pc ikawaka lakini mouse cursor...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada wandugu kama nilivyo eleza hapo juu nataka kutumia kwa laptop thanks
0 Reactions
2 Replies
3K Views
naomba msaada simu mzuri ya nokia mzuri kwa internet isiyozidi 150000
0 Reactions
2 Replies
976 Views
habar wakuu. natumia Opera mini kuingia jf ktk simu yangu. tatizo ni kwamba, kila nikiingia jf inanidai tena password. wakati pale penye kibox(remember me) nawekaga tick. Opera hii hii...
0 Reactions
3 Replies
911 Views
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kama kuna yeyote mwenye uelewa na hili,ni kwamba nimenunua simu ya android aina ya huawei ideos u8150 lakini kila nikijaribu ku access internet inakataa...
0 Reactions
4 Replies
779 Views
Kwa msaada naomba kujua tofauti kati ya Internet Security na Antivirus iko vipi? Kwa mfano unakuta Kaspersky Internet Security na Kaspersky Antivirus. bado cijaijua tofauti yake.....!!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mtalamu anatakaedesign Blog nzuri ambayo itakuwa ni ya ENTERTAINMENT, pia aweke gharama zake kwa kazi hiyo. Nahitaji BLOG ya kuvutia kwa muonekano.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu,heshima mbele! Nina I phone 3G, baada ya kuwa slow sana nikaomba ushauri kwa fundi mmoja, akaniambie ni i reset na kufuta contents zote.Nimecommand reset, tangu jana....mpaka sasa imedisplay...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika kutembelea web yao wameelza very simple kuwa hauna madhara ya kutumia simu.....wamerahisisha mno soma hii hotuba toka kwa mkurugenzi mkuuuuuu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Click hiyo link ya precisionair halafu check Visa and health information za kila nchi
0 Reactions
2 Replies
856 Views
MAGIC : 1 An Indian discovered that nobody can create a FOLDER anywhere on the computer which can be named as "CON". This is something pretty cool...and unbelievable... At Microsoft the whole...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wadau wa safu hii ya Science, Naombeni msaada wenu wa kulitatua hili tatizo maana nimeshajaribu kila njia but no muafaka...nime-google but sijapata jibu lilonisaidia. Tatizo lenyewe ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau na watalaamu wa mambo ya computer naombeni msaada wa kujua ni ipi windows nzuri kwa matumizi na inayovumilia virus mara utasikia kila mtu windows anasifia kati ya windows hizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu kama title inavyojieleza hapo juu,nataka kublock baadhi website ktk pc yangu naona kuna watu wameingia ktk site ambazo kimaadili haziendani nami.Naomba msaada wenu haraka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani tags hizi ni sa muhimu sana kwani zinasaidia unaposearch kwenye search engine mbalimbali. ni vizuri tunapokuwa tunapost humu basi tusisahau kuweka tags ili kurahisisha utafutaji wa post. JF...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima wakuu, Nina hard disk ya 1TB aina ya seagate, inanitaka niiformat ninapoingiza kwenye usb port ndo niweze kuitumia na mimi sitaki kufanya hivyo kwa sababu data zangu zote zipo huko...
0 Reactions
3 Replies
849 Views
Many times we need to install fresh Windows or a Linux distro in a computer system but we don't have access to a working CD/DVD drive. Sometimes the computer system doesn't have any CD/DVD drive...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kuna simu nimeiona ni nokia x3-02 nimetokea kuipenda sana ila sina ujuzi sana na simu kwa wanaojua nijuzeni uzuri wake na ubaya wake namaanisha mapungufu yake. Na inaweza kuwa ni sh.ngap ikiwa dukani.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom