Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
AntiVirus guru hits rock bottom after fleeing murder charge John McAfee, 67, has apparently successfully managed to dodge Belizean police for a second day after he was implicated in the...
0 Reactions
2 Replies
845 Views
wadau msaada wa hiyo kitu, nimejaribu kupitia thread zilizopita sijapata active link, msaada pls
0 Reactions
2 Replies
990 Views
The moon took quite a beating in its early days, more than previously believed, scientists reported Wednesday.This surprising new view of the moon comes from detailed gravity mapping by twin...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Nimekuwa nikisikia huku mtaani ya kwamba betri za simu zinazotengenezwa na Tekno ni imara (zinakaa na chaji kwa muda mrefu) ikilinganishwa na betri za Nokia. Naomba kujuzwa je kuna ukweli wowote...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jama android imenishinda kurusha nyimbo kwa kutumia broototh kwasab katika music naona optiotion za kuplay tu! Msaada plz
0 Reactions
13 Replies
2K Views
HELP! HELP! HELP! Nina XBOX360 yangu nimeitumia kama miezi sita, sema hivi Karibuni nikitaka kuiwasha inakataa inaleta Error Report hii , SYSTEM NEEDS UPDATE alafu kingine kwny DASHBOARD THEMES...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
salaam wakuu, habari ya kila mtu. Kwa wale wakuu risk takers katika tasnia ya betting,je ni sites gani unazozifaham wanazo predict football matches kwa high accuracy? Kuna ths place at K/Koo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu naombeni msaada wa namna ya kupata docs zilizofutika kimakosa kwenye simu. Natumia Samsung GT
0 Reactions
4 Replies
983 Views
Galaxy note inauzwa-750,000 used 2months good condition +255 756 412 337
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Ukiwa na sh 50 tu unaongea na mtu mmoja "unlimited calling" 24hrs kwa kupiga *804*1*namba# kama hiyo ikikataa ipo hii tena ukiwa na sh 75 unaongea tena na namba moja 24 hrs kama hapo juu ila...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani Adobe Flash na Silverlight ipi nzuri kwa matumizi ya net.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
heshima zenu wana jukwaa,,,mim nimepakua microsoft 2013 sasa cijui nifanye je kuinstall bila ku-burn kwenye cd kwa sababu ni ISO FILE so ina fail ku-install ,,,nisaisie kama kunaprogram ya ku-open...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jmn naomben msaada wenu, nina laptop yangu hapa imegoma kupga kaz, baada ya kuINSTALL antvirus naona kila nikiwasha inaLOAD tu then inakuja kuonye recycle bean peke ake hlf screen yote inakua...
0 Reactions
8 Replies
899 Views
Jaman nlikuwa naomba msaada wa application nzuri ya kuedit picture kwenye android aiseee
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji Comment Zenu Kwnye hii Blog , Niliyoidesign https://www.larrybway91.wordpress.com
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF, naomba msaada kwa yeyeto mwenye keys za Euro simulator2 games, shukrani kwenu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
actual sio rahisi kivileeee ni dola 249 around laki 4 za kitanzania kwa sasa itakua ndo simu rahisi zaidi ya windows 8 (huawei wao wanakuja na simu ya chini ya dola 200). Ina vitu exclusive...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
simu yangu ni Nokia E71. ni wiki ya pili sasa inakataa kufungua facebook na e-mail yangu ya gmail. Yaani nafika hadi kwenye password na zikishafunguka tu, cursor haisogee na wala hakuna command...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
nisaidieni link ya kudownload adobe photoshop cs6 au set up yake!
0 Reactions
1 Replies
819 Views
nisaidieni jinsi ya kutumia hiyo rog maana inanisumbua sana
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Back
Top Bottom