Kwa wale watakaonunua samsung s III and Note II kutoka nje ya nchi ambazo huwa zinatumia simcard za huko tu. Hii njia itafungua sim yako iweze tumia simcard ya mitandao yote ya hapa nchini.
Njia...
Wanajamii F, nina tatizo kwenye laptop yangu nikisearch video yeyote au ujumbe nitakao, my youtube haifunguki kabisa, naomba msaada, tatizo laweza kuwa nini?
Some might say what? Not K&R? Not Linus?
Yeah, today is Miguel. All those you know are great, but let see this man who created so much we use today.
WHO IS HE?
Miguel de Icaza (born c...
Nahitaj laptop 13" display 2GB RAM 320GB HDD (au hata 300GB HDD) with 3x3.0 USB ports And optical drive bila kusahau webcam na bluetooth. Iwe Toshiba au Acer kama sio HP (first-hand),
nina kama...
Ni jambo la busara na kimaendeleo kuona nchi inatoka kwenye mfumo wa digital na kuingia mfumo wa analogy ifikapo Dec, 30 lakini je wa TZ mnaufahamje huu mfumo maoni yako ni mhim sana?
Naam wapendwa wana JF, kwa mara nyingine tena nawaletea portable external Hard Drive mpya na za kisasa kabisa zinazo-support both USB 2.0 and 3.0. Jichagulie external yoyote utakayoipenda kati ya...
habari zenu,
Ingawa kuna mdau alitoa tips za kutofautisha kati ya fake na orignal,ila kuna baadhi ya sifa zipo kotekote mfano orignal iphone huwezi kutouch kwa kutumia plastic materialls ila kwa...
habari wakuu, kuna laptop yangu dell latitude d620, kioo kina mwanga tu na mistari, rang tofauti hakionyesh maandish mpaka niunge na screen nyengne. Tatizo ni nini?
Msaada tafadhali
Habari zenu wana jamii wenzangu ?
Katika matoleo mapya ya smart phones mfano (HTC, iPHONES, NOKIA LUMIA) n.k. zinatumia micro sim card
yaani SIM CARD ndogo kuliko ile standard size tuliyozoea...
CLICK HERE TO DOWNLOAD Windows 8 Final Pro . Size=2.42GB Tumia Tixati au uTorrent kudownload hiyo kitu ili tuweze kupata seeds na peers nyingi kwa manufaa ya wote kumbuka hii kitu iko na key...
Wakuu kuna mtu kaniambia Zantel wana kifurushi cha TSH 20,000/-kwa mwezi unlimited. Lakini nimecheck kwenye web yao sijaona kitu kama hicho.Kwa kuwa najua kuna watumiaji wa Zantel wengi humu...
wakuu heshima zenu,,,kwanza ni kwamba kuusiana na hiyo issue na access free au?na nilazima niwe connected na net ya modem?na je nilazima hiyo modem iwe na hela?
mwaweza kudadavua zaidi
Habari zenu jamani,naomba mnifahamishe tofauti za service ya CRDB ya sim banking na internet banking coz nimeenda kuomba form ya Internet banking jamaa akanipa ya Sim banking na nikimwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.