Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Voyager 1 probe leaving solar system reaches "magnetic highway" exitBy Irene Klotz | Reuters – Mon, Dec 3, 2012 Enlarge GalleryThis artists rendering provided by NASA shows the Voyager...
0 Reactions
1 Replies
729 Views
TCRA na akina Mpoto acheni kupotosha wananchi...hakuna TV ya zamani wala ya kisasa zote zitahitaji king'amuzi haijalishi ni CRT,PLASMA,LCD or LED hata logo yenu ina kasoro katika ujumbe wake
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau hivi hii offer wana limit speed au full kujiachia bila kikomo?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu, Jamani mimi BB yangu ghafla imeacha kudisplay majina ya watu kwenye contact yangu ambayo nimeya-save. Mtu akinipigia inaonekana namba tu wakati nime-msave, tatizo linaweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Drought May Have Killed Sumerian LanguageBy Tia Ghose, LiveScience Staff Writer | LiveScience.com – 12 hrs ago Related Content Enlarge PhotoThe ancient Sumerians invented … SAN FRANCISCO...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
kiukweli nimempa mtu anisaidie kuiweka ubuntu kwenye pc yangu akanambia anasikia kuwa ukitaka kuweka programme kwenye ubuntu zinakataa au nyingine mpama uwe online ndo ziweze kuwekwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu kuna baadhi ya apps nilizoshusha kutoka google Playstore, na kuna baadhi nahitaji kuzi uninstall kwa kutumia njia ya kawaida ya application manager lakini zinagoma kabisa. Msaada tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
......hii ni Mara ya pili sasa bada ya kuatafuta mawazo yenu na kuyatendea kazi sasa nimerudi tena.....kuwakaribisha katika tovuti ya simu(wapsite) ya kibongo kwa ajili ya downloads ndogondogo za...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau kuna hizi sofware za kufukuza mbu ambazo zinapatikana kwenye platforms tofauti kama android n.k. Swali langu ni kama zinafanya kazi kweli au magumashi, nimedownload moja lakini sioni kama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
NA MIMI NIMEJARIBU KUTENGENEZA HII FORUMS JAMANI!!! HEBU IPITIENI THENI MNIPE USHAURI,NA MNIKOSOE KWENYE MAKOSA NA VITU KAMA HIVYO!!!!!! HII IPO KIBURUDANI NA URAFIKI ZAIDI Chatz Forum PIA...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Najua alternative moja tuu, kwenda au kutumia makampuni ya simu kutrack mawasiliano ya mtu fulani kwa sababu fulani. Je kuna technology nyingine? Kuna mtu nimemsikia analalamika sana kuwa kuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wa JF naomba msaada wa kama kuna mtu anajua namna ya kuchakachua internet niwe natumia bure, niliwahi kufanyiwa hivyo na jamaa mmoja lakini baada ya kuformat pc yangu nayo ikapoteza...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa yeyote anaye jua nawezaje kupata apps za hiyo samsung, apps kama Skype, adobe reader, office na zinginezo. Browser nimefanikiwa kuinstall UC Browserna inafanya kazi vizuri.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
SMS@20: 10 ways text messages have changed your life in the last 20 yearsTech, Posted on Dec 04, 2012 at 09:06am IST IBNLive.com Sponsored link: Flats @ 15 Lacs. IndiaProperty.com...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo juu..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello Friends, I want to create the dynamic array in C++ . Please suggest me guys . How i create the dynamic array in C++ .
0 Reactions
17 Replies
2K Views
jamani wadau naomba mnisaidie kujua bei za tablets zimesimamaje madukani na aina zake.....na wapi zinauzwa bei nafuu kidogo. ahsanten.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mambo vp guyz,ambayo anaweza kuwa na hyo game hapo juu please naomba anisaidie I am dying 4 it
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Vema, kuna wandugu katika uzi huu hao chini wamelalamikia tatizo la mitandao kukutaarifu baada ya kuwa imekula vocha zako zote. Huu ni wizi na nimeshaongea na hawa wandugu lakini inaonekana hata...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Mikate kuhifadhika hadi miezi miwili bila kuharibika. Soma hapa Can-like Preservation on Fresh Foods. Guess best thing since sliced bread!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom