Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu, Natumai mko poa nyote. Poleni sana na majukumu ya kila siku. Simu yangu Samsung S8 Plus. Iko locked na Au ya Japanese. Kila laini nayoweka inaniambia Invalid sim card Locked...
0 Reactions
4 Replies
603 Views
Sometimes Bhana naona watu wengi aki code style website yake kidogo tu anaanza ku inspect elements aangalie jinsi gani iyo style inaonekana kwenye mobile. Hii trick pia inakupa access ya kutumia...
0 Reactions
3 Replies
684 Views
Natafta software ya solidworks au fusion 360... msaada please.. for mechanical engineering and design
0 Reactions
4 Replies
506 Views
Asalaam wakuu. Ningeomba mwenye ufahamu mzuri kuhusu concept ya default gateway aeleze kwa kina ni kitu gani na kinafanyaje kazi. Nawasilishisha.
0 Reactions
3 Replies
433 Views
Habari wana jamvi la JF Tech, kama title inavoeleza. Simu angu kuna baadhi ya Apps hazifunguki inanipa maelezo kama yalivyo kwa TITTLE hapo juu. Naombeni msaada shida ni nini hapa!
1 Reactions
5 Replies
817 Views
Chombo cha kupeleka mizigo katika anga za juu cha China cha Tianzhou - 4 kimerejea angani. Vipande vingi vya chombo hicho viliteketea wakati wa mchakato huo, huku vipande vichache vikianguka...
0 Reactions
3 Replies
566 Views
Habari Wakuu! Ndugu yangu kanunua hii simu ila ukiweka simcard inasoma jina la mtandao ila bars za network zipo empty. Nimejaribu katika Network options kushusha kutoka 5G to 4G to 3G to 2G ila...
1 Reactions
2 Replies
505 Views
Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana. Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakubwa mnajisikiaje na hali🤚🤚, ni hivi ulishawahi kufanya kazi sehemu kama programmer halafu ukakuta wasimamizi wako au pengine wadau wakawa hawajui vizuri kuhusu programming? mimi hiyo...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Za asubuhi wakuu Naulizia kwa hapa bongo wapi nitapata battery ya simu tajwa Naipenda huwa kanatunza chaji Sana toka 2019 mwanzoni Hadi Sasa . Week ya pili Sasa nasikia harufu Kama ya lithium...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Habari za weekend wataalamu Nimenunua TV aina ya star X naomba kujua namna ya kuunganisha na simu yangu kwa wireless ili niweze kushare music na video. Kabla ya hii nilikuwa na TCL ilikuwa rahisi tu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Question Question
Wakuu mambo vipi, naomba maelezo mazuri ya kumuelewesha mtu kwa ujumla tu kuhusu event driven programming. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Heshima zenu wakuu,naomba App nzuri ambayo nitaweza kutuma SMS moja Kwa watu wengi ndugu zangu. Nawasilisha
0 Reactions
40 Replies
3K Views
STARTUP COMPANY, Kuna mkanganyiko mkubwa Sana wa maana ya Startup ni nini unakuta hata baadhi ya Founder wa STARTUP kibongobongo hawana uwelewa wa kitosha kwamba STARTUP ni nini na inasifa gani...
2 Reactions
5 Replies
919 Views
Wakuu naomba msaada wa kupakua au mwenye hicho kitabu! (Bungart Harmonium school) Nimejaribu ku download inahitaji nitie$$ Natanguliza shukrani!
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Habari zenu wakuu...! Niende kwenye mada moja kwa moja Sehemu nayoishi kuna tatizo la umeme kuwa hauna nguvu/umeme mdogo kiasi kwamba kuna baadhi ya vifaa vya umeme ukiwasha haviwaki au vinawaka...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mafundi tupo huku
0 Reactions
1 Replies
302 Views
FAHAMU KUHUSU ARTIFICIAL INTELLIGENCE ? Neno artificial intelligence tunaweza sema ni "Akili bandia" ule uwezo wa teknolojia kufanya mambo mbalimbali ambayo kwa kawaida uhitaji kutumia uwezo wa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom