Eti wakuu sana. Hii kitu whatsapp community ni kitu gani. Nimeona tu ni supergroup ambalo unaweza kuadd magroup hadi 50. Na whatsapp wanataka kuweka limit ya watu 1024 kwa group. Maana yake hili...
NDUGU ZANGU Mimi NI mfanyabiashara WA Nguo SASA Nina WATEJA WANGU wengi NATAKA niwe NAWAPA updates za bidhaa KUPITIA WhatsApp groups nilizozitengeneza,
SASA SHIDA inakua moja tu WhatsApp...
Habari wakuu,
Kwa yeyote anayefahamu utaratibu wa kupata VFD/API kutoka tra kwa ajili ya kutoa risiti naomba anijulishe kwa vile nimejaribu kuangalia kwenye tovuti yao sijaona utaratibu...
PC yangu mbona kama umeiwasha unatumia halafu ukaicha kwa muda kidogo ikiwa monitor screen ipo "on" baadae inazima ila mashine inavuma sasa ukirudi ukabonyeza keyboard yoyote ili iwake na...
Angalia maajabu ya Samsung Galaxy S22 Ultra.
Kwa teknolojia ya kisasa ya kamera ujue hakuna usiri tena.
Unaweza kufanya jambo ukiamini hakuna anaekuona kumbe mtu yuko kilomita kadhaa...
Wanajamii Tech ningependa kujua jinsi ya kuwa software developer kwa kujifunza mwenyewe I mean language (s) course, resources n.k
Pia kwa hapa nchini naona community iko ndogo Sana sijui ndo kuwa...
Habari za majukumu ni muda sasa nimekuwa nikijihusisha na maswala ya ufundi simu ila upande wa software pekee sasa nahitaji kuingia rasmi kwenye maswala ya hardware nahitaji kujua ni vifaa vipi...
A.Alaykum
Kwa kuwasaidia, ikiwa mtu hataki hizi picha za humu ndani zinazotumwa zisiingie Gallery kujaza gallery.
Nenda kwenye option juu kwenye jina la group mkono wa kulia, utaona dots 3...
Kumekuwa na katabia fulani ka kusubiri flagship zilizotolewa miaka 2 au 3 nyuma zishuke bei zifikie bei ambayo ni affordable ndipo mtu anunue.
Hili linakuja na changomoto kadhaa.
Kwa mfano...
NAOMBENI MSAADA WAKUU.
Natanguliza shukrani.
Habari ya Weekend?
Baada ya kutoangalia Movie kwa kipindi kirefu sana Cha miaka mi Tano 5.
Weekend hii nimejaribu kutafuta movie na kukwama PAKUBWA...
Habari wakuu,
Naomba kusaidiwa imetokea nimefuta chatting zangu zotee za WhatsApp ambazo baadhi zilikuwa na umuhimu sana na nilikuwa nikizitumia kama kumbukumbu incase zikihitajika mfano...
Habari wakuu,
Nimenunua Infinix smart 6 ya 2/64GB pamoja na kujaribu kufanya settings ili ikae 4G Haikubali ,sijajua nifanyeje ingawaje ndani ya Simu inaonekana inayo 4g kubwa zaidi laini zangu...
Kampuni ya electroniki Sony wako makini sana kwenye bidhaa zao. Japo situmii simu ya Sony kutokana upatikanaji wake lakini ninapenda sana apps zake mbili. Yaani Gallery yake na kicheza musiki...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.