Nimekua nikifanya tafiti ya mic nzuri kwa ajili ya YouTube videos bila mafanikio, kama unajua naomba nijulishe wapi naweza pata mic nzuri kwa ajili ya YouTube? Na inaweza kua inauzwa bei gani...
Habari wakuu, Natumaini Tanzania tuna watalaam wengi sana wa GIS. Tukutane kwenye Uzi huu Kuulizana pamoja na kubadilishana uzoefu katika field hii ya GIS. Uzoefu wa software mbalimbali pamoja na...
Wakati baadhi ya watu wakihangaika kupinga binadamu kutua ama kupinga kua binadamu alikanyaga uso wa mwezi zaidi ya miaka 50 iliyopita mataifa mbali mbali yameendelea na harakati zakiutafiti anga...
WhatsApp GB si rahisi kuipakua.
Inahitaji proffessional.
Anaetumia Whatsapp ya kawaida kasheshe kwake ni pale anafuta kitu cha aibu huku wenye GB Whatsapp haifutiki patamu hapa.
Feature ipi...
Nataka nitengenez account kama 20 hivi za wanunuaji wa bidhaa wa fiverr, ntakuwa nalipia kupitia visa hizi za mpesa/ Airtel.
Nataka niwe nanunua bidhaa zangu mwenyewe halafu najipongeza kwamba...
Gari hiyo aliyokuwa akiitumia kwa muda sana huku duniani , ambapo alipanga kufanya hivyo kama majaribisho ya rocket yake kubwa ya falcon heavy ambayo ndio ilikuwa inaruka kwa mara ya kwanza kabisa...
Wale wazee wa flagship kama bado unajishauri naomba nikushauri ipi ya kuchukua kati ya hizi mbili bora uende Samsung.
Nilinunua S21 ultra february nikachukua iphone 13 pro niliipata tarehe 5...
Ndugu zanguni habari, najua JF inao mkusanyiko wa watu tofautitofauti hivo nimeona suala langu nililete hapa pengine nitapata msaada.
Mimi ni mkazi wa Mwanza, ila nina passion kubwa na ishu za...
Nimeamua kuwapongeza ninyi maana bila ninyi maisha yangekuwa magumu sana hususani kwa sisi tunaotegemea internet muda wote...Ila kupitia ninyi mmefanya maisha kuwa rahisi mno asanteni sana..
Wakuu,
Ni app gani nzuri ya kukata(Trimm) video zilizopo Youtube na kisha kupakua trimmed video kama audio?
Ni kwamba nahitaji kukata video ambayo ni ndefu na katika video niliyochagua nipakue...
Wakuu salama,
Hyo Tv yng aina ya evoli screen ndo imebuma kimtindo huo yan inaweka mistari tu, dada ktk harakat za usafi aliminya kioo.
Hili tatizo linapona kwa mafundi wetu wa ki bongo kweli au...
A path in a digital circuit switched network has a data rate of 1 Mbps. The
exchange of 1000 bits is required for the set up and teardown phases. The
distance between two parties is 5000 km...
Leo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa.
Aliependekeza...
Wakuu Nimejipanga na kiasi cha 300k niko sehem ambayo fibe bado hazijafika na ninaitaji kufunga wifi ya unlimited na yenye network tulivu Sana je ni company ipi inaweza nipa huduma hiyo
Hello wakuu.
Habari naomba kuuliza hivi natafuta kujiunga kwenye app yoyote ile ambayo nitailipia kwa mwezi .
Maana matumizi yangu ya internet yamekuwa makubwa .
Kwa siku natumia Elfu 5.
Je...
Habarini wanajamvi!
Nilikuwa naomba kujulishwa aina gani ya TV ni bora zaidi kati ya hizo tajwa.
Nilikuwa nahitaji TV 43",Hisense nimeambiwa 800,000/=tshs.,Home tech nimeambiwa 680,000/= dukani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.