Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau hivi inakuaje kila ukibadilisha simu what's app inaanza upya yani kama vile hukuwa na account inatoa magroup yote na kila kitu, yani ni kama unanza moja
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini leo sina mengi naomben ujuzi nifanye nn ili niweze kudistribute dstv na azam katika vyumba ving ndan ya nyumba moja Na utaratibu upoje ASANTEN
0 Reactions
2 Replies
423 Views
Habari wakuu, Msaada wakuu kwa anayefaham app namna ya kutoa kivuli au emoj kwenye picha kama hii hapo kuitoa hiyo emoj
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naulizia housing ya simu- Vodafone 795 Kwa hapa Kibaha au Dar Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
453 Views
Wakuu humu jf kwema Naomba ushauri wa simu gani janja (Smart phone) nzuri yenye uwezo mzuri wa kupiga picha,uwezo mkubwa wa kuhifadhi(storage capacity) na uwezo mkubwa wa kukaa na chaji kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama wewe ni mtumiaji wa kifaa hiki, hili jambo halitakuwa geni kwako! Changamoto hii tumekuwa tukikumbana nayo kwa kiwango kikubwa na hapo hapo tusijue nini chanzo chake. Leo hii hebu tupate...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa. 1...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu jf na mara baada salamu ni vizuri tuwaeleze hawa ndugu tusipuuzie hivi vitu ingawa vinaonekana vidogo. Watueleze tatizo ni nini kama program zao hazimatch tuombe hata kina max waende...
0 Reactions
3 Replies
434 Views
Vice president wa industrial designs wa Apple ameondoka Apple. Evans Hankey ambaye alirithi mikoba ya Jony Ive kwa miaka 3 imefikia muda nae pia anaona ni wakati sahihi wa yeye kuachana na Apple...
2 Reactions
7 Replies
617 Views
Wataalamu wa ICT mtujuze umuhimu wa hii kitu Cc mwl RTC
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Heshima yenu Viongozi, nilikua na Account Netflix nikaifuta nikafungua account nyingine jana kwa email tofauti na Visa Card Number Tofauti.. lakin mpaka sasa inasumbua nimeshindwa kupata Account...
1 Reactions
5 Replies
552 Views
Simu yangu nimeiseti kila ikifika saa nane usiku muda ambao siitumii simu basi ijizime na kujiwasha yenyewe ili iwe na performance nzuri kila siku sasa leo nakuta ina hicho kialama cha VoLTE ni...
1 Reactions
1 Replies
803 Views
Habarini ndugu zangu, nimenunua simu aina ya iphone, baada ya kukaa kwenye android kwa miaka yote ambayo nimetumia simu nikaona ngoja niingie kwenye ulimwengu wa iphone ili nionje hali ya hewa na...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
JF ni kisima cha maarifa na wataalam mbalimbali naomba kufahamu Alama za vidole kwenye mfumo wa usajili wa mashine ya kusajili Alama za vidole je hufika muda na alama hizo ku expire(kufutika)...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data ni pamoja na instagram Yaani kumaliza GB MOJA NI KUGUSA! Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii. Je, wewe...
7 Reactions
79 Replies
8K Views
Nikawaida yangu kuagiza bidhaa mtandaoni na nimeisha pokea order zaidi ya tatu ndani ya muda sahihi Ila hii order ya mwisho ndo ilikuwa matata nimeagiza mzigo wangu LCD Display ya iPhone 6 plus...
5 Reactions
65 Replies
5K Views
Wakuu salamu Simu yangu Samsung A10s hai detect Bluetooth wala wi-fi hususan 5G Tatizo linaweza kuwa ni nini? Haikuwa hivyo tokea mwanzoni, ni limeanza tu hivi majuzi. Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, ni application Gani ambayo inasaidia kutrack up location, model ya kifaa anachotumia mtumiaji ikibidi na Mac address yake
0 Reactions
4 Replies
406 Views
Wakuu nitapata wapi hizi Camera ambazo zinatumia Sim card? Na bei zake zikoje? Niko Mkoa wa Dar es salaam. Je, zinakuwa na Motion detector?
0 Reactions
2 Replies
617 Views
Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error. Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina...
1 Reactions
2 Replies
442 Views
Back
Top Bottom