Habarini wanaJF kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kunifanikishia kupata kioo kwa ajili ya Samsung A90 cha kwangu kimepasuka sasa naitaji kukibadilisha...
Waungwana.. kuna friji brandi ya INDESIT Nilinunuaa USED, week iliyopita inapooza vizuri sana mpya ndani haija chakaa ila inatoa mlio flani nikiulizia naambiwa ndio tabia ya brandi za INDESIT...
Habari wakuu,
Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona...
Wakuu habari za saa hizi?
Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu anisaidie, nina router ya kampuni ya Smile. Je kuna uwezekano wa kui manoeuvre itumike kwa mitandao mingine kuachana na smile, yani kama...
Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo.
Amesema "Apple...
Habari
Nisiwachoshe baada ya vifurushi vya internet kupanda na gharama kuwa kubwa nikaona sasa niachane na maswala ya kuweka bado na kuanza kutumia mambo yetu yale ya maVPN ili nipate free...
Je hii laptop wakuu ipo vizuri kuhimili Gaming, ubora wake ni upi na uthaifu wake ni upi?
Kwa wanaofaham kuhusu mambo ya games kwenye pc. Kwa games za online (eg pubg) na offline pia.eg (far cry)...
Hellow Gamers
Nimefikia ukomo kwenye tasnia ya Gaming
Hivyo basi nimeamua kwa moyo mmoja kuitafutia makazi mapya hii PC yangu.
Ni Custom built PC naweka specs zake hapa chini.
Safari ya kuunda...
Habari wandugu!
Naombeni muongozo nani huku anatumia huduma ya Super-kasi Vodacom....hii wanayokufungia antenna na wanasema unapata speed ya 30MbPs.
Kwa mwenye experience nayo nataka kujua speed...
Habari wana JF.
Naomba mwenye kujua kama inawezekana kuweka OS ya android 12 kwenye Galaxy Note 8 alternatively maana officially haiwezekani.
Faida na Hasara(Risk) za kufanya hivyo, Karibuni...
Wakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?
Wakati teknolojia ya simu za mkononi zenye uwezo wa ‘touch screens’ ikiingia, kila mtu alikuwa akistaajabu kwamba utaweza vipi kubofya simu ambayo haina ‘buttons?’ yaani uguse tu kioo halafu mambo...
Kama unatumia Whatsapp ,facebook, insta, messenger zote zimezima mda huu... sijui server za bwana marck zimekumbwa na nini leo...
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji34][emoji34][emoji34]...
Wadau!
Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi.
Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.