Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu ivi ni Processor Gani Bora Kwa Matumizi ya Engineering Apo
0 Reactions
5 Replies
528 Views
Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card. Kwanini Mpesa na wenzake...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Kusasisha simu ni hali ya kukubali/ kuruhusu mabadiliko ya mfumo wa simu au App iliyo katika simu au kifaa cha kijidijalikwenda katika mfumo mpya. Mabadiliko haya yanaweza kufanyika...
7 Reactions
12 Replies
4K Views
Nilianza uundaji Wa box za Spika za sub woofer kwa ajil ya magari, nyumbani na maukumbini, natumia MDF Kama materials ya kuundia box, rangi na Leather kwa decoration.
9 Reactions
60 Replies
18K Views
Wadau habari jamani, naomba kujua ubora wa hizi luninga za kampuni ya Star X, je zinafaa kwa matumizi ya mazingira ya kitanzania. Wajuzi jamani naomba mnijuze katika hili.
1 Reactions
234 Replies
92K Views
Naomba kuelekezwa namna ya kufuta namba Whatsapp zilizo left kwenye group. Watu wana left namba kibao zinabakia nahitaji niziondoe. Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habar wataalam naomba mwenye uelewa wa kunielekeza ku install Gcam (google camera)kwenye simu yangu anisaidie nahitaji kuwa na camera hii ahsante
0 Reactions
3 Replies
553 Views
Wana Jf naomba kujua kati ya west point, samsung, LG na hisense ipi company ya mashine za kufulia au in general kampuni gan inatisha kweny vifaa vya electronics
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nisaidieno wataalam nofanyeje jagi langu haya ya kuchshia maji, ukiwasha linajizima lenyewe wakati maji hayajachemka. Nqomba msaada kwa wataalam
0 Reactions
3 Replies
493 Views
Camera za samsung kwa kweli zinahitajika kufanyiwa maboresho makubwa sana, yaani sim ya samsung ukiinunua ikiwa mpya Camera utaona ina muonekano mziri ila ikikaa miaka 2 kuendelea quality ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wandugu? Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa..Kwa wale wapenzi wa kurefresh mind kwa kucheza Ps 4 or Ps 5 games,Tushirikishane game nzuri ulizocheza,Binafsi napenda zaidi game za mission...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua ni application ipi ni install kwenye PC yangu ili niweze k-run application mbalimbali kama vile whatspp, telegram nk
1 Reactions
9 Replies
656 Views
Habari wakuu,mwenye ujuzi wa ku unlock mifi ya halotel itumie mitandao yote msaada tafadhali.
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada Uamuzi huo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Na hii vp wataalam je iko vizuri? Kusukuma heavy games? Na hizi ndizo sifa zake 👇
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu nlikuwa nauliza kuwa hakuna kifaa na Battery kitakacho weza kujichaji pindi umeme upo? Endapo umeme ukakatika basi kile kifaa na battery kiweze kusupply umeme hata kwa zaidi ya siku mbili...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanasayansi huko California Marekani wametemgeneza Digital camera ya ukubwa wa MP 3,200 ambayo ina uwezo aa kuona kale kampira kadogo ka golf kwa uzuri kabisa kakiwa umbali wa kilomita 15 na...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu, naomba mnisaidie kwa wenye ujuzi na hizi simu .. Hicho kialama hapo juu pembeni ya kialama cha alarm kina maanisha nini?
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie, hivi uki renew laini ya tigo halafu tigo pesa ulikuwa na hela, je utaziona pesa zako?
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Back
Top Bottom