Wakuu kuna Service ni za Muhimu sana hata kama Network Providers watatu charge, We are willing to pay palikuwa na Huduma fulani fulani ya Kujua mtu aliyekupigia Kama mtu umezima simu au Eneo ulipo...
Wakuu TV yangu ni smart TV brand ya vitron 32"
Ila Bluetooth haina, naomba kujua kama kuna kifaa naeza kutumia kupata connection ya Bluetooth kwenye TV kwenda kwenye soundbar/sabufa
Sent from my...
[emoji2923]
Save 100+ hours on researching
webflow.com [emoji821]
The modern way to build for the web with No Code.
Price: Free [emoji389]
Webflow: The no-code platform for web design and...
Habari, nipo dar na nilikua nahitaji huduma ya internet , kwenye internet cafe ila iwe na speed nzuri na mazingira yawe mazuri.. 20mbps to 100mbps.
Asante
Kwa mujibu wa timu ya mawakili wanaomuwakilisha Elon wamedai kubaini Mahakama haitokuwa na uamuzi mzuri upande wao hivyo wanaridhia kuinunua Twitter ili kumaliza kesi.
Twitter imethibitisha...
Wakuu baada ya kutumia Android go kwa miaka mingi kidogo Sasa nataka walau nipate hata hii simu niliyo weka hapo juu ambayo Ina real android.
Hivyo ninawaomba member nipatekujua walau Bei ya...
Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu...
Natumia turbo vpn duration yake ni wiki moja for free so naomba mwenye kujua ambayo ni free total na yenye kasi nzuri, ni hayo tu wakuu uchaguzi huu umetufunza mengi.
Iwe ni chaji iliyokuja pamoja na simu au ulinunua baada ya kupoteza au ya kwanza kufa, wengi huwa tunazingatia amps, volts, na watts kujua kama chaji hiyo ni fast charger na kama inafaa kwenye...
Ndugu zangu naombeni anaye jua jinsi ya kubadili font za hii app ya sport pesa ziwe za kupendeza anisaidie maana Kila nikidowload app nikibadili inagoma sijui nitumie app gani?
Ndugu wanajopo,
Kuanzia juzi hadi sasa sijaweza kuingia menu ya MPESA inayofunguliwa kwa code hii *150*00#. Kikawaida nikibofya, ninapata maelezo haya: "USSD code is running" kisha menu...
1. Kwanza kuwa mpole, wala usipanic code zikizinguwa, hii ni kawaida.
2. Usiwaze kutengeneza app kubwa saaanaau yenye mambo mengi mapema.
3. Kutengeneza app ni kama ujenzi, usiwaze saaana kwamba...
Kama kichwa hapo juu natamani sana maelezo ya moja kwa moja sio mzuri sana kwenye kuchagua kama unaona ushawahi pata mashine nzuri kwa hiyo budget unaweza share nasi nipo mbeya kwa mwenyeji...
Wapendwa, najua mchezo huu vijana wengi sasa hawaufahamu, hivyo katika private project yangu ya AI (Artificial Intelligence) nimeamua kuchagua mchezo wa bao kutengeneza simple game ambalo mchezaji...
Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!!
Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa...
Inaonekana ni ngumu sana kwa hii mitandao kuwa na idea za utofauti ambazo hazifanani na platform nyingine; sijui ni uzembe wa kubuni idea mpya au idea mpya zimeisha.
Twitter imetangaza mabadiliko...
Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.