Instagram inaongeza kikomo cha urefu wa video zinazoshirikiwa kwenye kipengele chake cha Hadithi kutoka sekunde 15 hadi dakika 1. Hapo awali, video za dakika moja zilizoshirikiwa kwenye Hadithi za...
Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 16.0.2 kwa watumiaji wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 zote; ili kurekebisha matatizo ya Kamera za iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max.
Siku chache zilizopita baadhi ya...
Kuanzia mwaka 2023; watumiaji wa smartwatch za Fitbit watalazimika kutumia akaunti ya Google katika kujisajili kwenye vifaa vya Fitbit - smartwatches na fitness trackers.
Fitbit ni brand kubwa ya...
wakuu naombeni msaada natumia iphone XR nahitaji kutumia free net mana bando limekua garama sana naukilinganisha nahali yasasa, so mwenye vpn yeyote ama app yeyote inayoweza ku acess free net...
wakuu poleni n majukumu.
wataalaamu kama kawaida tusaidiane hapa wenye uzoefu, hivi ni bora ukatumia premium template ya blogger then ukatumia na custom domain au uhamie tu moja kwa moja...
Kuna swala linanisumbua hapa kidogo..
KWA ANAEJUA HILI ANIFAFANULIE ILI KUOKOA GHARAMA ZA UMEME..
1. Mfano. Una Friji inayotumia umeme wa AC V240 na una friji unayotumia umeme wa DC 12V. Hii ya...
Wakuu naombeni msaada wa kujua mashine ya kugundua matatizo ya simu inaitwaje na upatikanaji wake kwa dar maana hapa dodoma najua siwezi ipata
Naombeni msaada tafadharini
Habari ya jioni wapendwa
Kuna kaofisi nataka kufungua sehemu ila umeme hamna nataka kutumia sola ili iweze kusukuma friza la boss lita 230 lengo nataka kufahamu ninunue bettry ngapi?
Betrry...
1. Kabla bado unajifunza, pendelea kupiga codes kwa mkono, usitumie WYSIWYG apps kama DreamWeaver mapema. Zitakusababishia kutoelewa HTML, CSS codes kwa ukamilifu au kwa haraka, hivyo tumia...
Uamuzi huo umetolewa na Mahakama baada ya kampuni hiyo kubainika kutumia huduma ya Utiririshaji wa Moja kwa Moja (Live Streaming) iliyoanzishwa na Mwanajeshi Mstaafu aliyekuwa na lengo la...
Hello Tech,
Someone to help please. I'm using WordPress but recently this massage appared.
"This site can’t provide a secure connection
afyapin.com uses an unsupported protocol...
Kama Ni kweli wataalam wa anga naomba mnijibu maswali yafuatayo:
1. Kifaa kinachowapeleka kitasafiri kwa muda gani kutoka uso wa Dunia mpaka Sayari ya Mars ?
2. Je Hali ya hewa ikoje huko kuhusu...
Habari wakuu.
Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.