Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
OnePlus ilikuwa ni brand nzuri sana katika design, lakini kwa zaidi ya miaka mingi inabadili mwonekano wake kila muda na fans wake hawapendi kuona kila model ina design yake. Mwaka jana katika...
1 Reactions
2 Replies
813 Views
Habari za mihangaiko ndugu. Kuna kitabu cha "Birds of East Africa" kwa yeyote mwenye nacho ama anajua naweza kukipataje (kiwe soft copy).
0 Reactions
7 Replies
553 Views
HIZI NI GAMES LAZMA UCHEZE KWENYE PC YAKO (ENHANCED POST) 1 GTA V LINK GTA V Free Download OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1. Processor: Intel Core i5...
10 Reactions
140 Replies
27K Views
Majuzi hapa kuna kitu nilikuwa nacheki review moja ya powerbank nikakuta ya kiswahili nikasema ngoja niangalie Link yake hio hapo ..yani jamaa maswala ya tech hakuna kabisa kifupi anajarbu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba anayejua namna ya kuhamisha namba za simu toka line moja kwenda nyingine anisaidie how to do it on my phone
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Msaada nahitaji kununua desk top aina ya HP core 2 duo kwaajili yakucheza games kama fifa 22 na mengine vp jaman itasapot
0 Reactions
6 Replies
798 Views
Ndugu Wanajamvi Naitaji Kuengenezewa App ya Music itakayolink na Website Yangu. Watu wawe Wana Download
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kufungua website na kulipia domain. Hela ya vocha ipo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anayejua naomba msaada.
0 Reactions
11 Replies
770 Views
Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza...
16 Reactions
252 Replies
14K Views
Mwenye kufahamu free VPN ya internet ambayo inaconnect vyema kupitia mtandao wa vodacom anisaidie kunijuza. Itapendeza kama speed yake itakuwa ni kubwa bila kusahau band width yake Msaada...
1 Reactions
24 Replies
12K Views
Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu msaada kidogo hapa,,, nimenunua hii Simu S6 Ila nilijaribu kuweka line yangu haisomi.. tatizo nini wadau nashindwa kuelewa kabisa.. Simu hii ni Used, nadhan zinajulikana yaan zimetumika...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Naomba namna ya kutengeneza account hapa nashindwa. Inakuja kwenye I am robot nashindwa.
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Habari wakuu je nafanyaje ili niweze kuangalia match live kwenye tv kwa kutumia internet ingawa tv yng sio smart tv ila hapa nilipo naangalizia kwenye simu tu mpira kwa kutumia app ya yacine tv...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari naomba anejua namna ya Kupata Copy ya kitambulisho cha NIDA anipatie ma elekezo namna ya kukipata hio copy
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Habari! Poleni kwa kazi Naomba mnisaidie kuhusu unit za umeme.Je n hak kulipa 7000 kwa units 20? Nmetumia kwa muda wa mwez 1 na wiki kama 1.Mchana huwa cshind ghetto. Natumia pas ya umeme kwa...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Wadau habari, Naomba kujuzwa ni ipi Best Application nzuri kwenye simu yakudownload any mp3 music ziende direct kwenye simu nasio kubaki kwenye app NB. Natumia Android phone Ahsanteni
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kama ulikuwa na file zako ghafla hazionekani tena na hauja zi delete.na pia ume show all folders bado hazionekani ni kwamba kuna virus wame yaficha hayo mafile .njia ntakayo onesha ina rudisha...
2 Reactions
10 Replies
10K Views
habarini wakuu kuna site inaitwa youtube-aq.xyz hawa jmaa wana lipa watu kwa ku watch ads video kweny site yao na ukijiunga unapewa bonus ya $25 lakn nmeingiwa na mashaka makubwa sana baada...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom