Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu naomba kujuzwa nini kinasababisha kuonekana kwa makundi hayo kwenye ukurasa wangu wa facebook ikiwa ni picha za ngono na lugha ambazo hazieleweki Naomba kusaidiwa namna ya kuzitoa maana ni...
0 Reactions
8 Replies
696 Views
naweka dau kwa mtaalam atakaye weza kunisaidia kuscrape followers katika account yenye followers 51k kama unaweza tupatane PM kwa mazungumzo ya kina. Asante:
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Sehemu hii itakuwa inawezesha mtumiaji ku-repost post ambazo amezipenda. Mfano ukiona post ambayo unatamani kuonyesha followers wako, unaweza ku-report na itakaa katika profile yako upande mpya wa...
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Salam wakuu, Naomba kujua kama simu hiyo(Samsung A54) ipo sokoni(realesed) au bado. Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
828 Views
iOS 16 inategemewa kutoka leo kuanzia mida ya saa 2 Usiku, na latest report ya mwisho ambayo imevuja inaonyesha mabadiliko mapya ambayo yatawakuta wale ambao wanatumia AirPods feki! Code ya...
1 Reactions
4 Replies
502 Views
Habar wakuu My Galaxy s8 has no sms delivery report what can i do to set it
1 Reactions
7 Replies
368 Views
Habari wakuu naomba msaada kwa anayeweza elewa tatizo la moderm kujidisconnect yaani nikiweka inafanya kutoa kamlio kanakoashilia inaconnect na kujidisconnect. Hata kusoma kwenye window...
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Wana jf kwa mwenye kujua bei na mahali napoweza kupata wireless charger ya Samsung maana naona inachagua sana charge hii samsung yangu. Mahali ni daresalam natanguliza shukrani!
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Which Number amongst should be drawn Out the Box, And Why ? [emoji848] Namba gani inatakiwa itolewe kutoka kwenye hili boksi namba,Unadhani ni kwanini? [emoji848] Comment the Correct Answer and...
2 Reactions
2 Replies
338 Views
Habari zenu wakuu. Niende kwenye mada; naombeni kujua namna ya kuunganisha padi ya ps3 kwenye laptop ili nicheze games za Psp maana nishadownload app ya ppsspp na kuinstall.....Natanguliza shukrani
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Habari zenu wataalam Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee. Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji". Matokeo nataka yatokee kutoka katika...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nimesafirisha fridge kutoka Mkoa A to Mkoa B ila lilizwa vby kwasababu kwa maelezo ya fundi kabla yakulisafirisha alisema litakiwa lisafiri likiwa limesimama au lilazwe kwa upande wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa.. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋ ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wadau, Ninataka kujua namna ya kuzesesha Digital Payment kwenye application yangu. Yaani mtu alipie kutoka mtandao wa simu moja kwa moja kwa kuweka kiasi kwenye application halafu simu...
1 Reactions
7 Replies
715 Views
Habari zenu wana jamvi kwangu imekuwa ngumu kuendesha akaunti yangu ingali nilipoifikisha ni kazi mno. Jana nimepigwa Li Copyright Claim Sina hamu kuisha mpaka mwezi wa 11 tarehe 10.. Me kama una...
1 Reactions
4 Replies
303 Views
Ninaianzisha thread hii kwa ajili ya kubadilishana pia kufundishana kuhusu Networking kuuliza mwaswali ili tusaidiane kwa woote tuanze na cofiguratiaon za rauter kwa yeyote anaweza akasaida
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhur ya muungano wa tanzania wadau, kama kichwa cha habar hapo kinavyojieleza naomba kwa yeyote anayefaham app nzur ya kuondoa matangazo kwenye simu naomba anisaidie...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wana iti mm nilikua naomba kufahamishwa kuhusu. 1: namna application za kuangalia mech live mfano ya baraka tv, inaingizaje pesa kwa mimiliki. 2: namna application za kuuza na kununua...
1 Reactions
4 Replies
591 Views
jamani kwa mtaalamu, nilichange zile security code kutoka zile za nokia za 12345 nkaweka zangu, but nw nimezisahau zangu, so swezi kuchange line plz help nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Back
Top Bottom