Wakuu kwema, hope wazima kabisa
Msaada wenu wakuu, nataka niagize mzigo huko mombasa kwa njia ya mtandao, kwa wale waliowahi kuagiza Tv, fridge n.k nchini Kenya /Mombasa na mzigo akaupokelea...
Juzi kati hapa nilitaka kununua sound bar nzuri jamaa yangu akanishauri ninunue za JBL kua ni nzuri sana.
Katika kufanya window shopping hapa Dar nikaenda Mlimani city nikauliza bei nikaambiwa...
Habari za majukumu wadau wote wa JF. Naomba mnijuze wapi naweza kupata wataalamu wa ku design logo kwa ajili ya Website. Logo hiyo pia iweze kutumika kwenye page za social networking kama...
Wakuu, adopter ya PC yangu aina ya HP ilikuwa na damage ile sehemu ya mwishoni ya kuingizia power,
Nikabadilisha waya, nilipoiconnect tena, ile sehemu ya PC inapoingia adopter ili kupelela charge...
Baada ya kurupushani za kwenda dar kufanya interview ya posta nafasi ya Muhasibu nmerejea tena kutoa nondo, Kuna watu walishangaa sana mie C.P.A (T) machozi ya simba niombe kazi wakati hadi wao...
Hello, Wadau habari za muda huu. Nahitaji Media Convertor naweza pata duka gani hapa Kwa Dar au nje ya Dar? Bei ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wakuu wa kitengo kwema? Samahani nina logo kwaajoli ya kampuni ya utalii nichague ipi kati ya hizi? Na pia kama kuna sehemu ya kurekebisha napokea mapendekezo [emoji1666][emoji1666]
Natanguliza...
Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea.
Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September.
Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
Zangu ni
1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na...
Salam wakuu!
Kwa wale wataalam wa Technology, ninaomba mnielekeze jambo hili.
Jana nilituma Document sehemu, ambayo ina ukubwa wa 1.8 mb na ikaonyesha sent. Leo jioni nimepata ujumbe kwenye...
Hello wakuu.
Ukweli ni kuwa kwa ulimwengu wa sasa bila kuwa na internet ni sawa na kuishi gizani. Na kuna sisi wengi wetu tunatumia sana internet kwa ajili ya shughuli zetu za kila siku...
Wajuvi wa teknolojia vipi ubora na uimara wa hizi tv aina ya Star x na Evvoli maana bei naona ni kitonga mno kulingana na bajeti yangu
Ni mpya inch 32
Star x led tv = Tsh 330,000
Star x smart tv...
Habari wadau
Ningependa kufahamu kama router ya airtel huawei b68a-24 inapokea network(internet) kutoka kwenye ethernet na kushare kwa Hotspot?
Maana niliconnect ethernet (rj45) kutoka kwenye...
Habar wakuu
Mdogo wenu nshavurugwa huku nina 8086 Trainer kit sijui kuitumia kuandika assembly language program naweza kuzipata online shida ni kuziandika nifanyeje
Shukran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.