Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu,natumia Tv aina ya Mr Uk juzi jioni nimerudi nyumbani nawasha Tv nakuta nusu ya juu kwenye screen ya Tv mwanga umefifia kidogo(japo mpaka mtu uwe makinj sana ndiyo utaweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je unahisi hii kamouni mya ya Nothing tech waliotengeneza simu mpya inayo itwa nothing phone kwa mantiki ya kuondoa kikwazo kati ya watumuaji na tecknolojia , je unahisi itazipiku giant kampani za...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nataka ninunue Samsung note 9 Ila sijui namna ya kutambua original Na fake specs 8gb ram 512gb rom Na bei 380,000 inapouzwa ( marketplace) Facebook naombeni nisije ingia choo cha kike wakuu
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Wakuu juzi nilijichanganya nikaweka call ringtone inaitwa ghuma kwenye hiki kisimu changu cha Azumi. Basi bwana nikawa nimeomba code ya mkeka kwa mshikaji, mida ya jioni jamaa wa code akanipigia...
2 Reactions
12 Replies
917 Views
Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua. Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Comment The Answer and I'll Tell if You Are Right Or Wrong . bonne chance pal.
0 Reactions
10 Replies
489 Views
Kama inavyojieleza hapo juu mimi ni mhanga wa tukio la wizi wa pesa..kuna mtu kaniibia pesa zangu huku akiacha ushahidi ambao sitautaja na kutokomea kusiko julikana ilihali kwenye simu anapatikana...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Naona kama bado hakuna mtu anafahamu kuhusu ili so nimeona nianzishe uzi kuhusu ili ili kusudi watu wote wafahamu kuhusu mabadiliko mapya yanayokuja kwenye mtandao wa YouTube. Kama wewe ni mmoja...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Naombeni Ushauri Simu Ipi Ipo Affordable Kwa Bajeti tajwa Na Ubora Wake Storage Processor Camera Na Vinginevyo Nitaheshimu Mawazo yenu Wadau
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa. Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna hii app ya chapchap ya wabongo unaagiza vitu China kama redio Raba na Vinginevyo Nilitaka kuagiza HIZI JBL Clip 4 Kwa Moja Wanauza 34000 lakini unatakiwa uchukuwa je HIZI Redio ni OG ama ni...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Question Question
Habari wakuu? Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Skrini ya laptop yangu imefanya rangi mbili kama hivyo pichani ..nifanyeje iwe sawa??
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakubwa, kama mada inavyosema hapo juu!ninahitaji kununua television inayotumia umeme wa juu (solar TV) naomba mnisaidie kunishauri aina na siyo mbaya mkaniambia hata bei zake
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu wa Tech. Nina PC HP Elite book 8440p. Naona imeanza kunipeleka Moto kiasi cha kushindwa kupata usingizi Hii PC nlikua nime ichaji kama kawaida then sikuchomoa betri baada ya siku 4...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi naombeni msaada jinsi ya kupata app bora ya kuhack msg za whatspp bila mtumiaji kujua kwenye simu za android
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Mojawapo ya Kinachosababisha sizipendi simu za Iphone ni muonekano. Iphone matoleo 3 ama hata 4 yanaweza kufanana usijui yupi anatumia simu ipi na yupi ana simu ipi. Kwa mfano, hii design ya...
6 Reactions
39 Replies
8K Views
Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022. Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo Apple...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wakuu Wiki ijayo natarajia kuwa mbali na network. Naomba msaada wa kuset autoreply message ili atayenipigia, aelekezwe kutumia whatsapp call au whatsapp text. Natumia infinix smart 6...
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Back
Top Bottom