Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari. Naomba kufahamu ubora wa TV Hisense brand. TV yangu ya Samsung imeharibika sasa nimekutana na mtu ananiambia kuna hizi Hisense brand wana offer ya black friday sales, akanipa offer...
4 Reactions
107 Replies
30K Views
Wakuu Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano Tanzania. Twende kwenye mada wakuu nilikua naomba kujuzwa tofauti ya 2.4GHz WLAN na 5GHz WLAN na kazi zake kwa matumizi ya Wi-Fi maofisini na...
0 Reactions
3 Replies
711 Views
Kutoka kwa page ya Tech Advisor hizi ndio simu bora zaidi kwa mwaka 2022 1. iPhone 13 pro (iPhone bora zaidi) $999 at Amazon PROS Ina display yenye 120Hz refresh rate Ina kamera kali sana Ina...
11 Reactions
57 Replies
28K Views
Construction of the US$650 million Seacom undersea fibre-optic cable is well underway. The cable will link the continent with the rest of the world to bring down connectivity costs. A release...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba msaada oppo yangu a57 ina chinnes rom nahitaji kuweka global rom, nipatieni maelekezo zaidi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina TV yangu kampuni ya PHILIPS imegoma kuwaka toka juzi inawaka taa nyekundu tu, nilijua kutotumia remote nikaenda kununua lakini wapi haiwaki. naombeni msaada Kwa anayejua fundi wa hizi TV, Sio...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari wakuu, Nina SIMU yangu infinix smart 2 haipigi Wala kuingiza call yan(outgoing and incoming call disabled) lakin Kila kitu fresh meseji internet nmejaribu kufanya setting za call inanambia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo dar nataka note 10+, ila nawaza haya maduka yetu ya kariakoo ntapata iliyonyooka kweli? Pia nafikiria kuagiza kutoka south korea kupitia ebay kuke nimeona zinauzwa dola 380, ila wasiwasi...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Ninataka kununua simu aina ya realme c35 nimeona ina muundo poa,nianachoomba kujua vp ubora wake!?
0 Reactions
9 Replies
922 Views
Wakuu habari zenu, Naomba msaada wa kupata scrapper ya email from list of urls. UPDATES UPDATES UPDATEs Nishapata solution, asante kwa muda wenu.
0 Reactions
0 Replies
368 Views
I've been see many people nowadays they complain about this ceber3 Ramson ware here are some tips. Is it possible to decrypt files encrypted by Cerber3 ransomware? No , at this time it’s not...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ? Karibuni sana
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Serikali duniani kote zinakabiliwa na madai ya kutisha kwamba zilitumia programu hasidi iliyotengenezwa na Israel kwaajili ya kupeleleza simu za wanaharakati, waandishi wa habari, wasimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu, wana JamiiForums leo ningependa kuwasogezea habari hii kuhusu project inayoendelea ya tajiri namba moja duniani ambaye pia ndiye mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tesla, Mr. Elon Musk...
4 Reactions
9 Replies
758 Views
Unajua kwanini nakuambia ukanunue Infinix zero x pro ? Kama wewe ni mzee wa picha picha nazani utakua na shauku ya kujua kilichopo ndani yake. Kampuni ya Infinix iliachia simu mpya aina ya...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji betri ya laptop. Duka gani itapata kwa bei nafuu? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
383 Views
wazee wa kazi nimesikia google wanafaya mabresho yao kwenye searching engine algorithm, mwenye kuelewa vizuri hii issuee, maana wanasema wale wanaoblog kachumbari, wanakula ban, wanaopost maelezo...
2 Reactions
8 Replies
453 Views
Habari wakuu, Naomba kujuzwa kuhusu laptop za samsung je zina ubora gani kulinganisha na hizi tulizozizoea HP dell lenovo accer na Toshiba. Pia naomba kujuzwa hizi processor core series from...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wanandugu maji yamenifika kwa neck wazee this time around nmejaribu kusaka vpn za iPhone lakin hazija workout vzuri daaah naona kama uchawi sasaa binafs n mtu wa online sanaaa nlikuag na...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari ndugu wana JF!! Mwenye uzoefu wa Tv zinaitwa Evolli anipe mawazo. Zipo vizuri au za kipuuzi
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Back
Top Bottom