Habar wakuuu,
Naomba kuuliza kwa watu wanaojua n vfaa gani hawa watu wanaotafsiri muvi hua wanavitumia ili kukamilisha kazi hiyo?
Nawasilisha.
Karibuni kwa maoni
Whatsupp
Nina PC yaina ya Lenovo Thinkcentre ilianza kuleta error ya blue screen siku kama 4 zilizopita. Ilikuwa kwa siku inaweza restart na kunonesha blescreen halafu ikarudi normal na isirudie...
Sote tunamkumbuka Isaya Yunge ambaye alikuwa ni moja kwati ya promising souls nchini kwenye sekta ya technolojia
Isaya aliweza kutengeneza Soma App app Edtech app lakini haikufanya vizuri sokoni...
Motorola Moto X30 Pro
Camera 200 MP
Selfie camera 60 MP
Screen 6.7"
Fast charger 0-100$ 19 minutes
Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
Habari , natumia simu aina tecno spark 3 kama mwezi sasa, ila juzi line slot 2 ambayo nimeweka laini ya tigo haisomi mtandao badala yake inaonyesha majina tu na msg zake zilizoingia zamani...
Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, arusha Tanzania
naomba mnielekeze jinsi ya kuondoa facebook preload video, yaani inakula mb balaa kwenye setting nimeondoa play automatically ila ata ukizima data video nyingi unaweza kuzi play at least for 12...
Nimepata changamoto App ya Instagram haifunguki.
1.Nimejaribu kuingia kwenye settings na kuclear cache still ni vilevile.
2.Nikatoa App na kuinstall tena bado vilevile.
3.Nikazima simu na...
Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika...
Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu.
Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu...
Niliiingia chaka nikajiunga na maximalipo kwa kununua machine yao na ku deposit 500000.
Muda si mrefu kampuni imefilisika, hawapokei simu na wala sijui namna ya kupata pesa yangu. Wiki iliyopita...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kujua jinsi ya kutengeneza video ya Lyrics kama hii hapa chini unatumia program au app gani wakuu? Natanguliza shukran zangu kwenu.
Entrepreneur na mwanafunzi wa chuo kimoja Dar ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo...
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.
Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.