Habarini wadau!
Naomba maujanja kuna data ziko disk ila hiyo disk haiwezi funguka mpaka uifomart kwanza! Nawezaje kuokoa data zangu ziwe salama salmini?
Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio...
Salaam wakongwe ni laptop gani ambayo ni nzuri kwa coders na programmers na kwa bei nafuu?
Na swali lingine ni kwamba naweza pata kwa range ya ngapi?
Natanguliza shukrani
Wakuu kwema?
Aisee natafuta mtu anayeifahamu laravel vizuri kabisa hasa ORM.
Kuna kazi nataka tushirikiane naye malipo yapo.
NOTE: KAZI TUTAFANYA WOTE KWA KUSHIRIKIANA KWA UKARIBU ZAIDI PIA...
Ndugu habari,
Hivi ni nini kifanyike kwa wale wotee wenye tabia ya ku hack account za watu?
Unakuta mtu ana acount yake kapambana sana kupata follwers wake lakini li mtu linakuna from nowhere...
Habari wakuu
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ..hivi huwa inasababishwa na nn ukiwa unangalia TV wakati mvua inanyesha signal hukata kabisa? Ndiyo kusema ufumbunzi wake haujawahi kupatkana...
Kwa wanaotumia mac book pro pc..
Uki install window seven by (dual boot interface and NOT Boot camp) and thereafter all coresponding drivers get installed (found in original mac os x cd)...
Vijana hivi sasa wanakua katika ulimwengu wa kidigitali ambapo Ujuzi na Uzoefu katika Masuala ya Digitali ni muhimu hususan katika Ajira
Hata hivyo, Mafunzo katika Nchi mbalimbali za Uchumi wa...
Aja na settings mpya WhatsApp.
======
WhatsApp imefanya mabadiliko kwenye programu yake yaliyotangazwa leo Agosti 09, 2022 ambapo sasa mtu anaweza kuondoka kwenye kundi sogozi bila wengine...
Habari za mda huu wakuu? I hope mko poaa... Sasa wakuu nlikua nme-lock folders kadhaa kwenye PC hapa, na folder hizi sijazifungua kwa mda mrefu kweli, almost two years. Leo nataka nizifungue...
Umeshawahi kujiuliza hivi ubongo wa binadamu na computer kipi kina uwezo Zaidi?, basi hili swali ni moja ya swali maarufu sana ambalo wanazuoni wengi wamekuwa wakijiuliza na kulifanyia utafiti...
Wadau nisipoteze muda wenu, nauliza nje ya mkoa wa Dar Es Salaam ni mtandao wa kampuni ipi ya intaneti/simu ambao naweza kutumia kuangalia netflix au huduma za streaming kwenye smart tv hasa tulio...
Habari zenu wakuu,
Samahani jamani mwenzenu wakati napiga window kwenye PC yangu ya HP. Limetokea tatizo pale pa kuchagua partition ambapo yanakuja maneno yafuatayo:
"Windows can not be...
Nimekua nikiwasikia akina Mwl.RCT akina CHIEF MKWAWA wakisema oooh Sijui Media tek sijui Snapdragon hizi Ni nini? Ipi Ni Bora?
Kingine Ni SSD na HDD hizi nini? Nimetafuta Sehemu nyingi...
Ndugu zangu habarini za asubuhi.
Jamani nahitaji msaada jinsi ya kufuta account yangu ya FB, lakini nimesahau Pasword na nime-log out muda tu.
Nimejitahidi sana kuomba Pasword Lkn imekuwa...
Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.
Android haya mambo yapo kitambo,, halafu hata zile usb cable eti kwa sasa...
Wataalam kwa kusponse matangazo instagram hapo kwenye reques review jamani tusaidiane tunaandika nini ili kuchomoka kwenye guu mtego wa kufungiwa kutangazaa
Nimelikuta hili friji duka fulani na nikiangalia ni kweli nahitaji kafriji fulani hivi kadogo kwajili ya geto si mnajua tena geto la msela lazima liwe la kisasa.
Nimeona nisijepigwa na kitu...
Naomba kufahamishwa unapoongea na mtu kwa njia ya simu, je! Ni wapi naweza kurekodi maneno yake wakati wa mazungumzo? Naomba kuweleweshwa makamanda wangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.