Je, zinafanya kazi baada ya kuchomeka ATM CARD Au muda wowote zinafanya kazi?
Sina nia mbaya kuna rafiki yangu aliingia ATM akakuta hela mtu alitoa lakini ilichelewa hadi huyo mtu akaondika sasa...
Habari zenu wakuu,
Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet.
Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na...
Habari za wakati huu ndugu wanajamvi pendwa la Technology.
Mimi ni Mtu ambaye napenda sana kuandika na kusoma mambo mbali mbali hada mtandaoni. Nikiwa chuo mwaka wa Kwanza 2013, wakati nafundishwa...
Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu.
Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei...
Kampuni kubwa ya Kijapani HITACHI imetengeneza chip ndogo kabisa na nyembamba Zaidi aina ya Radio Frequency Identification (RFID) iliyopewa jina la utani "Poda" au "Vumbi". Ina size ya milimita...
Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani
Nawezaje kusolve tatizo hili
CC.Chief...
TAFADHALI ZINGATIA MADA HUSIKA NA UWEKE PICHA SAHIHI
Natamani kuona home screens za simu za member wa JF zinaonekanaje.Una manage vipi home screen ya sim yako?unapangaje vitu au unaweka weka apps...
Hapa nazungumzia simu ambayo ukipiga picha, iwe kwa front camera ama real camera kitu inatoka o.g, yaani kama uhalisia, ukisema hii ni camera, iwe camera kweli kweli!
Na pia simu ambayo display...
Wakuu habari za muda huu poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika jukumu la kujenga familia na taifa kwa ujumla.
Moja kwa moja niende kwenye swali langu naombeni msaada najua hapa kuna manguli...
Habari wadau,
Mimi hata sitaki maneno meng in short ni kwamba nina kaz kubwa nataka kuprint ila uwezo wa kumudu wino wa laki 7 sina naombeni msaada wapi naweza kupata wino fake
Natanguliza...
Msaada watabe wa hizi mambo.
Nimekutana na hii kitu online, Je kitanisaidia? Nimesita kidogo kutokana na bei yake nahisi kama ipo chini kidogo,
Msaada please.
wakuu habarini samahan naomba msaada ipi bora kati ya certified google android tv vs tv box zinazotumia android ya kawaida ya simu interms of
uwezekano wa kusideload aplication kutoka google...
Wajameni Hisense yangu haileti picha na ina miaka 2 tu tangia ni nunue
Bila shaka hii burand ya Hisense ni Chupli Chupli au kuharibika kwa kawaida tu huku ? Wajameni wadau wa Tech
katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi...
Guys mambo vp,
Ishu iko hivi huwa napenda kurecord mazungumzo ninayoongea kwenye simu automatically kwa matumizi ya baadae, hasa sometime mnakubaliana na mtu jambo fulani unaweza kurecord kama...
Hello watu kazi.
Naombeni msaada nawezaje kufanya group call ya WhatsApp kwa participants zaidi 30? Nina group kubwa la wajasiriamali sometimes tunahitaji kufanya mjadala, tunashindwa kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.