Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habar ITS, Naomba msaada wa kiufundi kwa yeyote aliyena keys za kureset Printer aina ya Epson Namba L3060 Head Counter tuwasilkane pleas ni very agents Asanteni
1 Reactions
6 Replies
992 Views
Habari wana JamiiForums, Leo nimeona niandike kuhusu application za smartphone. Zifuatazo ni application za smartphone ambazo ninazitumia na zinanisaidia sana; 1.LIBRERA Hii ni app ya kusomea...
78 Reactions
308 Replies
89K Views
Wakuu salaam! Nisaidien App nzuri ya sms ambayo ninaweza ku backup sms kwenye drive. Natanguliza shukrani zangu. Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
3 Reactions
16 Replies
5K Views
created by software ipi na hii inaitwaje!
1 Reactions
9 Replies
811 Views
Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika: 1...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari zenu. Naombeni msaada wa kuchagua TV Bora (mind Sina uzoefu na TV so nahitaji na uelewa pia) budget ni 1.5mil isizidi hapo. Asanteni.
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari wakuu, Wakubwa naomba msaada ni laptop gani nzuri inayofaa kwa matumizi ya chuo? Inategemea unasoma nini na unapenda laptop zenye kukidhi mahitaji gani.. kuna laptop za kiofisi (almost...
0 Reactions
29 Replies
17K Views
Wakuu naomba kueleweshwa kuhusu web hosting, usenet, domain name, database, web traffic analysis na cloud computing hivi vitu jinsi vinavyofanya kazi kuanzia maana, shughuli, uhitaji, uendeshaji...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
habari za muda huu wana jamvi hope mko poa, kama nlvotangulia kusema hapo juu naomba mnisaidie kupata ile link ya kurejesha contacts zilzopotea maana nimejitahidi sana kuusaka ule uzi humu lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua kama kuna namna naweza punguza mwonekano wa ukubwa wa apps. Yani kama kuna settings nisiyoijua katika kuzipunguza applications zisiwe kubwa,napenda ziwe ndogo
1 Reactions
6 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Ukiambiwa uchague moja kati ya hizi kwa matumizi ya nyumbani, utachagua ipi na kwa nini? 1. High Spidi Internet bila kikomo (Fiber) Mwezi mzima. 2. FULL DSTV + AZAM TV + Startimes Mwezi mzima...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani kuna anayefahamu ni ISP gani anayetoa huduma ya internet fiber-to-the-home hapa Dar es Salaam?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba msaada ni Kwa nini kitu hiki kinatokea kwenye TV yangu nikiwasha!
0 Reactions
3 Replies
513 Views
Umewahi kujiuliza ni vipi wamiliki wa mtandao wa kijamii wa WhatsApp wanavyopata faida ilhali huduma hiyo inatolewa bure kwa watumiaji? "Facebook na Instagram ndizo madirisha ya duka ilhali...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT, Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app. Najua...
2 Reactions
3 Replies
621 Views
Nawezaje kutoa contacts zenye this feature on my contact list? Maana unaamtafuta mtu ambaye clearly anakutafuta on her / his terms, na sio vibaya but mimi naombeni mnisaidie Anywhere I can filter...
0 Reactions
3 Replies
523 Views
Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Natumia tecno RA7 kuna wakati inafuta contact nilizosave sijui shida ni nn wajuvi tupeane ujuzi
0 Reactions
13 Replies
657 Views
Back
Top Bottom