Natumia hp 15s-fq2xxx i5 11 gen, nemeinstall pes 2018 inaniletea iyo code apo juu, nikainstall pes 2017 inaleta tena iyo code. Nimejaribu kutumia tutorial za youtube karibia 9 za kurekebisha...
Ukidhani tu teknolojia fulani imefikia ukomo anakuja mwingine anaboresha kidogo tu na anakua mkubwa.
Lakini kuna tatizo moja naliona kwetu sisi watanzania tuna tabia ya kusema kwamba APP fulani...
Mwenye kufahamu jinsi ya kuzuia simu isile sana bando naingia na kuperuzi jamii lakini bando linaenda na hasa hii app jamiiforum inakula sana bando hadi naogopa kuweka bando
Wasalam Waungwana.
Tanzania kuna vichwa haswaaa kuna wajuzi wa mambo kada wa kada, lakini kinacho fanya tusiruke zaidi ni kila mtu kujificha kando na ujuzi wake,kile anacho kijua. Hatupeana...
Kwa yeyote anaejua jinsi ya ku remove "write protection" kweny flash drive au kui format flash drive ambyo ipo write protected naomba anisaidie maana cwez kui format wala ku insert file llte...
Habari wakuu. Samahaani naomba kuuliza
Range ya Bei ya printer mpya
Changamoto yake
Ufanisi wake wa kazi
Kwa wale wanao/waliowahi kuitumia
Nimevutiwa nayo, kabla ya kuchukua mamuzi ya kuinunua...
Wakuu Habarini za usiku Huu.
Baada ya kutafakari kwa kina juu ya muustabali wa maisha yangu nimeona ni heri niwe fundi wa vimeo uko mtaani.
Japo sina uzoefu au ujuzi wa hivi vifaa hila naamini...
Hello wapendwa wa jf samahanini nna tatizo kidogo nna flash yang ndogo tu 16gb n toshiba nmechukua miezi michache iliyo pita nkawa nahifadhia vitu vyangu muhimu ( music videos, movie chache na...
Habari wataalamu
Naomba ushauri, nina plan ya kununua TV mpya ambayo SIO oled au qled...Iwe Smart na iwe na 4K UHDTV capable.
Nimekutana na hizo options mbili za Samsung ya inch 55 4k uhdtv na...
Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at...
Habari za Muda huu
Kwa wataalamu naombeni msaada Redio ya gari Ina frequency 76-90. Nitaweka kubadili frequency zisome 88-107 au njia mbadala nipate frequency za kibongo.
Wana tech Salam..
Nimekuwa nikipokea maoni mbalimbali juu ya mambo haya ya IT kuwa vijana wanaotoka udom wapo vizuri Sana kwenye nyanja hii.
Juzi nilikuwa na rafiki angu mmoja kutoka crdb makao...
Ni aina ya hisense inakula unit 113 kwa mwaka. Waranty mwaka mmoja. Bei 400,000.
Ni yale madogo tu nahitaji kwajili ya matumizi ya geto.
Sasa nimeona kabla ya kulinunua nije nichukue kwanza...
Natafuta hyo DISPLAY CABLE ya Lenovo
Msaada pakuipata
Nipo moshi nimezunguka bila mafanikio
...
Hii laptop inawaka ila haisomi HARD DISK.. naombeni ushauri wana JF
Habari wakuu, straight to the topic,
Mimi ninatumia king'amuzi kimoja cha Azam sasa soon nataka ku-uprade TV ya sitting room niweke kubwa zaidi halafu iliyopo niiweke chumbani kwangu.
Sitaki...
Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani.
Mipango ilikuwa mingi na ndoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.