Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kufahamu kama naweza kuweka android version 12 kwenye Samsung S9. Ahsanteni.
1 Reactions
4 Replies
528 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Kwa mwenye uelewa kido ni wapi naweza pata mechi zote zilizochezwa toka liki kuu ya Tanzania bara toka imeanza hadi sasa. Iwe kivyovyote vile au katika mfumo...
1 Reactions
6 Replies
510 Views
Msaada ninapoweza kupata tachi ya hiyo simu hata kama ni used ili mradi haina crack .napatikana Dar
0 Reactions
2 Replies
434 Views
Habar ndugu zang wana JF, Naomba msaada wa kitaalam kuhusu chongamoto iliyotokea kwnye simu yang aina ya Samsung S7 edge. Ni kwamba ilitokea tu siku moja, nikijarib kupga picha Camera haifunguki...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie. Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Machine Gun Wielding Robot Of The Nigerian Army This UGV (Unmanned ground vehicle) can carry food, water, ammo, and of course a .50 calibre machine gun. Troops control it with a simple tablet...
1 Reactions
2 Replies
594 Views
.
0 Reactions
7 Replies
904 Views
Hi, I am a beginner in Python and was facing some issues with the topic frozenset() in Python, I also referred here but couldn't get what I was looking for and am still confused with this - I...
1 Reactions
4 Replies
647 Views
HP ELITE BOOK G3 RAM: 8GB STORAGE: 250SSD PROCESSOR: Core i7 6gen 2.8Ghz TOUCH SCREEN 14" O.S : Windows 10 Location - DSM Price: 800k Still Working and in Good condition. Serious buyer call...
0 Reactions
2 Replies
556 Views
Habari wazee wa code. Nahitaji programmer wa VB kuna kazi nataka nifanye nae awe dar. Namba zangu 0652247221.
0 Reactions
0 Replies
370 Views
Wakuuu salaam. Simu yangu ni infinix hot 8. Ina mwaka mmoja tu tangu niinunue. Hapo kabla ilikuwa iko vizuri tu Ila Cha ajabu ilianza kugoma ku connect Bluetooth . Mwanzoni nilikuwa nacheza nyimbo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naomba ushauri juu ya simu yenye Camera nzuri kwa ajili ya kupiga picha za biashara/kazi. Nina Salon ya kike inahusika na make up, kucha na ususi wa nywele. Kama mnavojua...
3 Reactions
48 Replies
15K Views
........
1 Reactions
9 Replies
868 Views
Kama inavyoonekana hapo chini. Hiyo helcopter sioni engine ikizunguka ila inaendelea kuwa hewani. Je hii ikoje?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
1. Friendly Ig ;hii app inakupa uwez wa kuperuzi(surfing) on Ig bila automatic video play na inakupa uwez wa kudownload picha Mnato na tembezi:utasevu Sana 2. Quora:ni app inayokupa insights mbali...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Hiko kifaa ni saparet meter maswali yangu ni haya,, 1/ Nikinunua, kimoja kinatumika, kwa, mpangaji mmoja tu? 2/ Kama ni kwa, mpangaji mmoja tu je ile buku ya kila mwezi nikitaka kununua, umeme...
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri. Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tz Wakuu naomben msaada kitu kimoja,Ni hivi mimi napenda niweze kutengeneza game la kwenye simu ila shida ni kuwa sijui coding wala nini, ko naomba mnaojua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba msaada: Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hey guys ...... Thefreedom is here ........ leo nipo hapa kuwaonesha na kuwafunza hasa kwa wale watanzania wezangu ambao hawana kabisa knowledge na hacking. Sasa leo nimekuja kuwafunza kitu...
8 Reactions
89 Replies
11K Views
Back
Top Bottom