Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu nina LGk51 haisomi lain za tanzania kwa yeyote ambae anaweza kufrash isome lain za Tanzania imetoka ujerumani wakuu
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Naomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimebahatika kuona nyuzi mbalimbali zikiponda simu zinazotumia chipset za MTK na wakisifia simu zinazotumia chipset za snapdragon au Qualcomm Naomba mnijuze...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
katika C, ni ipi njia halali ya kuangazia jumla-kama printf ambayo itachapisha tu wakati alama ya DEBUG imefafanuliwa? #ifdef DEBUG #define DEBUG_PRINT(???) ??? #else #define DEBUG_PRINT(???) ...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
US Democrats have urged the FTC (Federal Trade Commission) to crack down on deceptive practices in the Virtual Private Network (VPN) industry, The Verge has reported. In an open letter, Rep. Anna...
1 Reactions
1 Replies
595 Views
Wandugu nilikuwa natumia Samsung yangu kama hotspot bila shida. Tatizo lilitokea baada ya ku update software ya Samsung. Sasa kila nikijaribu kufanya connection, napata error kwenye laptop kuwa...
0 Reactions
1 Replies
601 Views
Kwanza nianze kwa kuweka wazi tu mimi sijasomea kompyuta kabisa wala sina ujuzi wowote maalumu wa hiyo kitu (hata introduction) Pamoja na hayo, nimekuwa na interest nayo sana kompyuta kiasi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwasababu ya muda ambao watu hutumia mtandaoni, ni muhimu kuelewa uhusiano kati ya Afya ya Akili na Teknolojia, kwani mbalimbali Tafiti zinaonesha matumizi ya Intaneti kupita kiasi yana madhara...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
simu yangu kunaa baadhi ya text haisomi inaaleta alama hizi,nimejaribu ku updade lakini tatizo bado ni lilelile,nifanyeje Simu samsung galaxy j7 prime.
1 Reactions
12 Replies
809 Views
Nimebadili simu, Ila magrup yote ya whatsap hayapo. Kwa anayejua, naomba msaada wa kuelekezwa namna yakuyarudisha.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimebadili simu,ila magrup yote ya whatsap hayapo.Kwa anayejua,naomba msaada wa kuelekezwa namna yakuyarudisha.
0 Reactions
0 Replies
564 Views
(NB: UKITUMIA DAKIKA 7 KUTULIA NA KUSOMA NAKALA HII MPAKA MWISHO, UTAKUWA UMEONDOKA NA JAMBO KUBWA SANA LA KUBADILI BIASHARA YAKO MTANDAONI) Moja ya sababu kubwa website nyingi za biashara...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Incredible Technology: How to Bring Extinct Animals Back to Life Like Dislike Edit content preferences Done Tanya Lewis, Staff...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wakuu. Naomba mwenye Adobe Acrobat DC au sehemu ambayo naweza dowload sihitaji Adobe Acrobat X Pro
1 Reactions
1 Replies
783 Views
Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop. Tunawezaje kutatua...
1 Reactions
3 Replies
735 Views
Simu tajwa hapo juu zimenivutia maana naona kama zina spec sawa ila zinaachana padogo dogo Redmi nimeipendea camera 50mp oppo 16 Oppo tena nimeipendea yeye ana finger sensor ya pembeni Redmi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habarini za jioni ndugu zangu! Nimekuja na uzi huu maalumu kwa "Save for Save" huu ni mtindo unaotumika kuunganisha watu mbalimbali kuwa karibu hasa katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp, ambapo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za kazi wadau, naombeni mnifahamishe nitakapopata thin clients za ncomputing nazihitaji kwa ajili ya business yangu ndogo. Nimezichagua hizo coz naona zitakuwa less expensive and easy to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua uhalisia wa bei za simu used Zanzbar, maana nikiangalia kwenye page mbalimbali insta bei yake ndogo Sana mfano Samsung s10+ kwa laki nne. Nilipouliza page moja utaratibu...
3 Reactions
16 Replies
9K Views
Habari za asubuhi wakuu! Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, kwa yeyote mwenye link ya gb whatsapp new version naomba anisaidie tafadhali maana whatsapp yangu ime expire kitambo kidogo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom