Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari za jioni Laptop aina ya dell nilikuwa nabadili windows,kutoka window7 kwenda window 10. imepotelea hatua Baada ya kubonyeza boot key,nika select usb storage kama kawaida,baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Husika na kichwa habari hapo juu. Natafuta hiyo generator isiyotumia mafuta, Kama kuna fundi anaeweza kutengeneza tuwasiliane. Naona India wanazitengeneza nafikiri hata hapa nchini pengine wapo...
1 Reactions
4 Replies
777 Views
Habari wana JF, Naomba kuelekezwa ni app gani naweza download kwa sim yangu ili niweze kuangalia league za ulaya kama EPL/Europa na zinginezo?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Napenda kuuliza ,mimi nimeingia mkataba na google adsense kutangaza matangazo kwenye blog yangu,na nimeshafikisha dolla 10,wamenitumia pin code,zitachukua siku ngapi kufika Tanzania kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet.......... Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu. Nimepewa kazi na shule X, niwatengenezee mfumo ambao wao wataweza kuapload notes matokeo n.k. Lakini pia mwanafunzi awe na uwezo wa kuingia kukoment na kupakua...
0 Reactions
7 Replies
415 Views
Habari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kurudisha whatsapp app kwenye simu yangu. Nilibadili number ya account kwa makosa na nilipojaribu kuirudisha tena ikakataa, option niliyoifanya ni ku-uninstall whatsapp ili ni...
0 Reactions
9 Replies
87K Views
Trick mbali mbali za simu Wengi hukumbwa namatatizo katika simu zao ambayo kama yakiachwa basi huaribu mfumo mzima wa simu na kusababisha kukosa mawasiliano ambayo kw adunia ya leo tunayahitaji...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Tecno K7 mwenye kioo aje tuyajenge zingatio me ni fundi bei isiwe ya shop
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Kuna mwenye idea ya kuweza kutoa hii kitu my website uki acess via chrome browser / google search engine ina display hio message msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
421 Views
Habari, Toa ninunue simu yangu nahangaika kuitafuta radio sijaipata. simu yangu ni Oppo A8 Mwenye kufahamu jinsi ya kupata radio (offline) anielekeze jinsi ya kufanya. Asanteni
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari ya muda huu? Mwezi March nilinunua laptop aina ya Dell 7480 ikiwa mpya kabisa. Laptop yenyewe ina ram ya 8gb na processor ya iCore 7 na SSD ya 526gb. Nimekuwa nikiitumia kwa shighuli...
1 Reactions
9 Replies
837 Views
Za asubuhi ndugu yangu nauliza kama kuna tangazo la kazi shule za private zinahitaji mwalimu wa chemistry tupeane support Mawasiliano 0625882652
2 Reactions
1 Replies
601 Views
Hi jf Nimenunua pic ya mtumba sasa nataka kuconnect kwa hotspot ila imekuwa changamoto, kama kuna mtu ana ujuzi naomba msaada
2 Reactions
9 Replies
746 Views
Tajiri namba 1 duniani mwenye mbwembwe amejichomoa kwenye deal la kuinunua Twitter kwa malipo ya $44 bilion. Wakili wake anasema Twitter wameshindwa kumthibitishia madai yao ya kuwa idadi ya fake...
6 Reactions
8 Replies
726 Views
Habari wakuu, Infinx hot 11 play kushindwa kupakua video online hii inatokana na nini?
0 Reactions
8 Replies
785 Views
Kwa wajuzi wa mambo nahitaji kufahamishwa hili, Mfano nina unit 12 kwenye luku na nna washa feni ya watt 70 au taa ya watt 5 nawezaje kujua taa ya watt 5 inaweza kuwa kwa masaa mangapi kwa unit 12...
3 Reactions
26 Replies
18K Views
Hello bosses, Nimekua nashiriki kwenye bug bounty programs na Pentesting lkn nikaja kugundua changamoto kubwa ni vifaa(software tools & scanners) pamoja na poor reporting. Yaan pentesting project...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Here is a list of ADB commands that you can use through CMD or ADB Shell on local device: ADB Basics adb devices (lists connected devices) adb root (restarts adbd with root permissions) adb...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
Back
Top Bottom