Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ninatumia simu aina ya Nokia Asha 200 lakini nikijaribu ku submit reply ujumbe niliouweka hauonekani.Lakini nireply post ya mtu ujumbe unaonekana.Hiyo submit reply inakuwa kwa chini mwisho...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Wakuu naomba msaada ni jinsi gani ninaweza kurestore data za kwenye external HD. Nilitumia External yangu kwenye PC ya rafiki yangu ila baada ya kuitoa ni kuwa file zote zinaonekana kuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, nina passion ya kujifunza programming, lakini tatizo ni kwamba sijui nianzie wapi, in short computer najua basics zake tu ukizingatia nimesoma biashara kuanzia form 3 mpaka...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
ipod yangu imeharibika. Nimeifungua nikatoa HDD yake. Hivi kuna anayejua jinsi ya kuibadili ikawa external ili niitumie kwenye computer maana ina 160GB naona nazipoteza hivi hivi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallow brothers and Sisters A FREELANCER is somebody who is self-employed and is not committed to a particular employer long term. Je unataka kufaham mbinu zitakazokuwezesha wewe kuwa mmoja wa...
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Mwenye Program ya yakubadili pesa za kigeni ya android anisaidie nilizo nazo haziendi na wakati
0 Reactions
12 Replies
1K Views
wakuu nina mashine yangu aina ya packard bell..virus wamezingua nataka niipige window chini niweke window nyingine..tatizo linakuja inakataa kuboot from cd..nimejaribu kwa kutumia F8, F9...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi na jamaa yangu wa karibu tumenunua simu za aina ya Samsung Galaxy S III na Galaxy S Duos. Galaxy SIII imewekwa chip ya Vodacom na Du os chip ya Tigo. Wadau ninaomba namna ya ku-configure...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wana JF, naamini hakuna kinachoshindikana humu. Files hazifunguki zinaleta message hi hapa chini "Word cannot open the document: user does not have access privileges"...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
naomba mwenye proxy zinazosupport facebook desktop view coz natumia Ican inaonyesha kama simu.
0 Reactions
3 Replies
966 Views
wataalamu wa mambo ipi ni bora kuliko nyingine kati ya hivyo viwili hapo.. ps3 or xbox...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
wana jf msaada nimekuwa nikitumia airtel internet ya shs 2500 kwa mwezi sasa inashindikana je kuna cheap zaidi ya hii.
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Natafuta fundi mzuri sana anayeweza kunitengenezea Blackberry Bold 9930. Nimenunua mpya kabisa kama wiki mbili zilizopita, pasipo guarantee. Nilikuwa nimetoka ku snyc phonebook zangu kwenye...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nime update sasa inashindwa kufunguka. nikiunganisha na itunes, inasema ni-restore......... nikigonga restore inaenda hadi mwisho inatoa error no 1015 nifanyeje wakuuuu
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu nina 4s Verison, nishahangaika sana ku-unlock, nilimpelekea fundi Sele pale Samora naamini wengi mnamjua naye kachemsha yaani nimekwama kabisa!! Mtu aliinunua US akaleta
0 Reactions
6 Replies
979 Views
Salaam to you all! Pictured here is one of the first "portable" computers. It could be considered the first laptop. This is the Osborne 1, which came out in 1981. The computer cost $1,800...
0 Reactions
3 Replies
893 Views
Habari za mchana wanajamii?? mie napenda kuulizia kama ile taa ya powerpoint in certain life span na baada ya muda ni lazima ife? if so ni replaceable? na kama ni hivyo vipi upatikanaji wake kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu... Nilibadilisha password ya fb last week, leo nimeupgrade browser nikasahau kukeep data. Nimejaribu kureset na wamenitumia code kwenye email yangu ya yahoo ambayo nayo imegoma...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wakuu, hivi Windows 8 ya Microsoft imeshawekwa dukani au bado? Kama bado mbona kuna mwanangu anatumia windows 8 katika machine yake? hii ni nini au fake?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu, nimenunua tablet inaitwa seltab, sasa nimeshindwa kuitumia kwa kucreate na kusave word files. Anae jua tafadhali anielimishe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom