Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani nme-download na ku-install skype kutoka google play store bt nikiifungua inakataa kufunguka.Hv ni kwamba hii inahitaji Wi-fi kuitumia ama? Natumia Huawei Tab
0 Reactions
4 Replies
778 Views
Wakuu nataka nifute moja ni baki na moja msaada wenu.Maana wakati wa kuwaka inanipa option nitumie ipi kitu ambacho sitaki.Ni window 7
0 Reactions
11 Replies
1K Views
mbona iPad ni kama iPhone tu yenye screen kubwa? tofauti gani iliyopo hapa? nadhani tablet ya surface ya Microsoft italeta upinzani kidogo.....
0 Reactions
8 Replies
857 Views
hii application inaitwa TOGO tv ina chanell nyingi sana za kila aina hadi mambo ya kibaba na mama yapo. Simu zinazokubali ni java na symbian na bb zajava kama hujui post chini ntakwambia kama...
3 Reactions
76 Replies
11K Views
Nike: Named for the greek goddess of victory. The swoosh symbolises her flight. Skype: The original concept was ⠀˜Sky-Peer-to-Peer’, which morphed into Skyper, then Skype. Mercedes: This...
1 Reactions
1 Replies
883 Views
Msaada tafadhali. Salaam Wana Jamvi! Nawezaje kuweka picha/images ktk body ya email particularly, Outlook Web Access? Sihitaji kuweka attachment. Ningependa recipient akifungua email niliyotuma...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu vipi? Nina Acer iconia A200 ina ru Aneroid Icecream Sandwich 4.0.3 Napenda download Movies moja kwa moja mtandaoni. Msaada nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niaje waungwana? Natafuta web designer ambae yuko fit coz nategemea kufungua website. Km upo dodoma na uko tayar,hollaa through 0752385949,0759362254 and lets mek a serious biz!! Very urgent......
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kwa anayejua namna ya ku treat maji ya Mvua yasiharibike. Natarajia kuvuna maelfu ya Litter za maji ys mvua but si mtaalam wa kutreat. Kuna mtu ameniambia nitumie Water Guard...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
mambo vipi wadau embu leo naomba tufahamishane kuhusiana na application nzuri ambazo zinapatikana ktk Google play store ambazo wewe mwenyewe umekuwa excited nazo na unaikubali mimi application...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Why bother using spreadsheet!?:confused:
0 Reactions
3 Replies
918 Views
habari wanajukwaa,naombeni msaada wadaU MWENYE procedures za ku-connect wifi/ wireless atupie hapa
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hivi etv imekuaje kwenye startimes mbona haioneshi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
je ntapata kwa bei gan na alie tayar anipe details
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu Wanajamii!!!!! Nina mpango wa kununua simu nzuri na ya kisasa siku za karibuni maana ninakwenda Mwanza kikazi. Kuna jamaa yangu amenishauri ninunue Samsung Galaxy Ace, lakini...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HABARI ZA LEO WADAU? MAJUZI NILIKUA NA HARAKATI ZA KUTAKA KURAHISISHA MAISHA KWA KUICHAKACHUA MODEM YA AIRTEL, MODEL MF 190 ZTE. NILIFANIKIWA KUI-UNLOCK LAKINI KILA NIKIWEKA LINE NYINGINE...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa wale wadau wa games naomba mwenye knowledge ya kubadilisha language kwenye hyo game pls nimejaribu kuchek kwa bwana google hanipi majibu useful, ka una idea ya hyo ki2 pls say something tanx...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
HABARI ZENYU BANA JF. NAOMBA MSAADA KWA VITU VIFUATAVYO; KU INSTALL INTERNET EXPLORER KWENYE MAC IP ADDRESS YA TTCL (server) INCOMING MAIL SERVER -NATUMIA BROADBAND YA TTCL CATEGORY YA POA/NDUKI...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Wadau nimetembele kiwanda cha TATC-NYUMBU, kumbe watanzania tunauwezo mkubwa sana wa kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba kwa kutumia technologia ya kisasa zaidi ya kutengeneza machine za...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Habari ndo hiyo sasa nasubiria matokeo ya nokia,RIM,microsoft na sumsung tuone nani yupo creative i.e. product out of the shelves money in the bank siyo ushabiki tuu.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom