Wanabodi,
ninataka kuinstal ms office 2007 kwa window xp sp2, nimedownload kwa internet website ya mircosoft,sasa wakati naistall nikubali Ms licence agreement inaniletea dialog box inayoema...
Ndugu zangu, nina mpango wa kununua digital camera nzuri na ya kisasa ambayo itakuwa na ufanisi wa hali ya juu. Ninachoomba kutoka kwenu, mnisaidie kamera ipi ni nzuri na inauzwa bei gani? ili...
Habari za saa hizi wadau? & poleni na majukumu!
Ukipata muda tembelea:
Tny Pastebin - The easiest way to host your text
Visit kwanza kisha utajua nini ninazungumzia.
OR...
Wadau hebu tujuzane hapa. kwa kiasi fulani
mimi ni mdau wa hizi mambo from web za
torrentz, nlichosikia kwa baadhi ya watu ni
kwamba hizi webs zina alot of malwares thats
why walio wengi...
Wana JF naomba msaada natafuta namna ya kuifungua modem yangu ya mtandao wa "Airtel" ZTE MF 190. Nimejaribu kutumia "Joinair software" ambayo inafungua modem za Vodacom za aina ya ZTE.Gharama za...
jamani naomba msaada jinsi ya kunusuru flash yangu,juzi nilifanya backup kwenda kwenye flash,lakini cha ajabu najaribu kudelete au kuformat inakataa,inaniandikia remove write protect.whoever has...
I have developed the same website using two languages (English and Swahili) but they all refer the same website. What I need is when the visitors visits they should first select language then be...
wadau ninawezaje kudownload drivers za sauti machie ni compaq kwa kutumia serial namba, au kama kuna njia nyingine yeyote ya kudownload drivers naombeni msaada wadau
A US court has ordered Samsung to pay Apple $1.05bn (£665m) in damages for infringing intellectual property.
The jury decided several Samsung devices had infringed iPhone-maker Apple's software...
Habari zenu wakuu!
Nina tatizo hapa. Awali nilichakachua modem ZTE mf190, nikawa na-enjoy matumizi yake. Sasa Pc yangu ikazingua ikabidi nifute baadhi ya ma-file ili kurekebisha mambo. Bahati...
Dear wfrobot-erp family,
Wfrobot erp New Version v.R.4.2 Released - Home
Jacob Urasa the core developer of wfrobot erp wish to thank all users of wfrobot erp for making wfrobot their...
mahakama ya korea imetoa hukumu leo kua kila mmoja apple na samsung kamuibia mwenzake, tofauti na mahakama za kimarekani ambazo kila siku wanaachiwa huru.
Wote wamebaniwa kuanzia leo hii kuuza...
naombeni msaada computer inawaka lakin aionyeshi kitu kwenye screen sijui tatizo ni nini,msaada kwa anaojua,pia na computer nyingine inawaka na kujizima,msaada plz
Nna iphone 4s hapa, tatizo lake haisomi line yoyote, inaonekana iko locked. Naombeni msaada wenu wanajamvi, details zake ni kama ifuatavyo:
iOS : 5.1.1
Baseband...
Wakuu hali zenu,
Hivi A-town, kuna ISP gani ambaye ana nguvu? meaning that connection yake inaweza kutegemewa na yenye spidi nzuri.
For the meantime, kuna kampuni tunaitumia inaitwa Arusha Art...
ninasimu ya ideos touch screan,tatizo ni kwamba nikijiunga net,nasipo idisconect nakuta pesa zote zimeisha,pia nikiwa napesa kama sh 500 nikigoogle marambili pesa yote kwisha tofautina simu N95...
Katika pitapita yangu nimeona hii tablet iitwayo Seltab Pc Tablet ikiuzwa katika maduka ya kampuni ya Sapna hapa dar kwa bei ya tsh 550,000.nimejaribu ku google haipo kwa hiyo specs zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.