Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
niliomba msaada jukwaa la elimu labda huku naweza pata, naomba mwenye encarta mwaka wowote anirushie ma email adress z emmanuelmaneno664@yahoo.com
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nasa officials hope the latest contact with Curiosity will be an inspiration to the person who will become the first to stand on the surface of Mars. The rover made history by beaming the first...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
British technology will play a key role in a new American Mars mission to delve under the skin of the red planet. Scientists from Imperial College London and Oxford University are supplying a...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
CAPE CANAVERAL (Reuters) - NASA on Friday unveiled plans for its Mars rover Curiosity's first road trip, part of a two-year quest to determine if the planet most like Earth could ever have hosted...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
wataalam heshima kwenu tafadhar nisaidien kuchakachua modem ya voda huawei E173
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Nataka niweke kamera kwenye nyumba.. sasa nataka kujua bei zake ..kamera kama nne hizi ama tano kuzunguka nyumba .. Najua hapa nitapata msaada na gharama gani nitatumia
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu kuna uwezekano wa ku-unlock Airtel Modem Huawei E153.... Thnx
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za kwenu wanaJF, Naombeni mnisaidie. Niliinstall folder lock 7.1 na nikaiwekea password (master password). sasa sijaitumia kwa muda kidogo. toka jana nilikuwa nataka kuitumia ili niweze...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwenye uwezo wa kuchakachua dstv. Naanza kufilisika. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Najua huku tunakoelekea "tekelinatujia" kwa haraka sana, sasa Nikon wanatyoa kitu Coolpix S800c, hii camera ina Android OS. na bei yake si haba, mnamo Septemba inategemewa kuwa sokoni si zaidi ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nitapataja PC Suite ya android? (Huawei Ascend Y100 - U8185)
0 Reactions
3 Replies
921 Views
Nahitaji moja ya smartphone hizi, ziwe in very good condition without scratches.Maelewano yanaweza kuwepo Samsung galaxy S price tsh 350000 Samsung galaxy sII price tsh 450000 HTC one X price...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana kuanzia saa tatu usiku kipindi cha BBC swahili kilianza rasmi kurushwa kupitia STAR TV kilichonifurahisha ni mpangilio mzuri wa habari pamoja na picha, ninachojiuliza kwa nini TV za Bongo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nadhani kila mtumiaji wa simu huwa na hofu kuibiwa au kupoteza simu yake. Here is the solution; Kwa wale ambao wameshatumia Avast mobile security watakubaliana na mimi. Avast mobile security for...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina simu ya mkononi, NOKIA 3110C.Virus wananisumbua sana.nimefulashi zaidi ya mala 2.nisaidie anaejua antivirus ya nokia 3110c. eliothngumba@gmail.com
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa taarifa za habari ITV hutangaza wastani wa habari za kitaifa 9, wakati TBC hutangaza wastani wa habari za kitaifa 4. Je nitakuwa sahihi nikiita ITV kama TV ya taifa , na TBC kama tbccm? au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Personally sijui sana PHP. In fact, I'm completely a beginner. But the few that I learn I share with you guys here at JF so that we can develop our skills and build a better tomorrow. Unapotoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu habari zenu ninaomba mwenye ujuzi wa kuchakachua hizi modem za (airtel, na zantel) lengo ni kutaka nitumie pesa yangu kwa wakati mrefu zaidi nimefikia hatua hii kwa sababu 1. Mwanzoni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
First man on the moon Neil Armstrong passes away! (CNN) -- Neil Armstrong, the first man to walk on the moon, has died, his family said Saturday. He was 82. "We are heartbroken to share the...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji kuset VPN kwenye simu. Nimeshindwa kujaza kwenye zile settings zake. msaada wadau, natumia android 2.3.6 HTC.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom