Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Waungwana nimekua nikijaribu kufungua website ya sua kwa wiki sasa lakini haifunguki au ndo tuseme mimi ndo nnaekosea?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
khabar zenu wakuu, karbuni sana,jiskie waz kuuliza chochote tu au kuomba ushaur au kuhusu softwr za simu hzow
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Own your own business - Become distributor now - visit For one month Twiga Hosting Ltd the owner of wfrobot erp will be registering distributors of wfrobot erp. You will always earn commissions...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
**Quick Deal.** Android Phones. Huwawei U8560 UNLOCKED! 2 pieces available. Price z disposable! serious buyers call 0657197186...PRICE 200,000 TSH.
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Please wana-JF naomba msaada wenu kwa mwenye software ya photoshine au wapi naweza kuipata?
0 Reactions
2 Replies
877 Views
wadau naomba mwenye software ya hiyo printer au link ya kuipata,aniwekee hapa jamvini natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Embu tujuzane wana Jf hawa jamaa wa polisi wana wataalam wa cyber crime ?
1 Reactions
43 Replies
9K Views
Jmn naomben kufahamishwa kuhusu hz camera za cm, je utajuaje kuwa hz cmr ni nzuri? Maana huwa naona zmeandikwa 2mega pixel, 3.4mp, 6mp, je hz mp's zina maana gani? Any help plz!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natumia tecno T501 kila nikiingia FACEBOOK nikimaliza ku log in inajibu "secure conection failed!" hata nikiingia twitter au gmail tatizo liko palepale, web zingine hakuna tatizo. naombeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wandugu naomba msaada wa namna ya kufanya kuifungua SARI ya SAUT. kila nikijaribu napata: Forbidden You don't have permission to access / on this server. Additionally, a 403 Forbidden error was...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, waungwana naomba mnisaidie kuinstall apps mbalimbali kwenye hii simu nokia E90, maana nimekwama. Kila app ya .sisx file ninayotaka kuinstall inanipa error "file corrupt" ..ila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
salamu kwenu wakuu!!! Naomba msaada kwa mtu anayejua Decorders za Abudhabi channels e.g Abudhabi sports and Mbc zinapatikana wapi kwa hapa Dar-es-salaam na zinauzwa shs ngapi???
1 Reactions
19 Replies
3K Views
wakuu... would anyone mention a list of local pharmacist wholesalers for me who are in DAR? Thanks for anyone with the details...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
nawasilisha wadau mwenye ujuzi na haya mambo
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Our systems have detected unusual traffic from your computer network. Please try your request again later. Why did this happen? IP address: 41.217.203.109 Time: 2012-08-29T15:27:41Z URL...
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Only 1110, 1110i, 1112, 1100, 2100 mobiles can be restart with this trick. Cannot be restartother mobiles with this trick. Go to your mobile right messagearea " New Message " here youtype 79...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Go to Start=> Run Type " cmd " and hit Enter Now command prompt window will be open and here you type "ipconfig " And press Enter Note: Default Gateway e.g Default...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada virus wameingia kwenye computer kila nyimbo imejirudi kwenye xternal nikiscan folder mojamoja wanatoka ila local disk c inajaa pasipo mzigo kuonekana hata kwnye recyclebin hakuna k2.
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Nna bettry ya gari 12Volts, nahitaji kuitumia kuwashia taa kadhaa (energy savers) kama 5 tu ivi, coz maeneo niliopo umeme wa tanesco unasumbua balaa. Je kuna means yoyote ya kufanya amplification...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
haarini jf members. Wakubwa nimeona wa2 weng wakiandika thread zinazohusu kudownload ku2mia rapidshare. Mi ni mgen wa haya mambo nataka kujua hyo rapidshare ni nini?,inatumiwa vp? Inafanyakazi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom