Huku kwangu Mbezi Kimara mtandao uliokuwa faster kuliko yote ulikuwa ni airtel. Cha ajabu siku tatu hizi, je na kwenu pia? Sababu inaweza kuwa nini?
Mwanzoni nilikuwa natumia modem ya Vodacom...
Now we can 1GB memory card into 2GB with this software.
First of all, Download this software in your pc and go to next step.
Insert your memory card and select your memory card drive.
Now click...
simu yangu ni aina ya samsung smartphone inafanana sana na blackberry ,kila ninapotaka kupiga picha inaniandikia"unable to connect to the external camera"tatizo ni nini na nifanyaje ili kuondoa...
kuna mtu hapa pembeni yangu anadai ukinunua LUKU kwa m-pesa au tigo-pesa inaisha haraka kuliko ukinunua kwa max malipo au Tanesco wenyewe.je ni kweli? kuna ambaye amewahi kuliona hili tatizo?
Autorun sio virus!!! Hizi ni files ambazo zinabeba instruction na kusaidia files/program husika kufunguka hasa pale unapoweka CD au Flash
Kwa nini sio virus?
Kwanza ina extension ya .inf ambayo...
Recently laptop yangu ambayo hata mwaka haina imeanza kubehave unusual, tatizo limeanza kama wiki ivi, nikiizima au ikisleep au ku hibernate inatakiwa kuwaka ntakapo bonyeza kitufe cha POWER...
wadau msaada computer yangu kuna virus wameingia yani kila nyimbo imejirudia kwe xterna nikaweka antvirus smadv inawakamat ila kila inapozid kudetect na master disk inakuwa full hata niki...
Nimeona angalau kwa ufupi niandike kuhusu faida za kutumia Ubuntu kama ambavyo baadhi ya wadau wa teknohama ambao wamekuwa wakitamani kujua.
Nipende tu kuweka wazi kwa kuwa nimekuwa mtumiaji wa...
Offline Windows Password & Registry Editor, Bootdisk / CD
I've put together a single floppy or CD / USB Drive which contains things needed to reset the passwords on most systems. The CD can also...
heshima kwenu wakuu.nina camera aina ya hp r817,ambayo niliitumia kupigia picha,na ina memory card ya 4GB,Cha ajabu nimetaka kuzihamishia hizo picha kwenye laptop,kwa ku2mia CARD READER-SDHC,kwani...
Wakuu naomba kujua niipateje software itakayoweza kurudisha vitu vilivyofutwa kwenye memory card?
Niliwahi ku download "sd recovery" ikawa ni ya kulipia nikashindwa.
Naomba kama kuna anayefahamu...
JAMANI UKIONA MTU MZIMA ANALIA UJUE KNAJAMBO.
NILI UPDATE EMAIL PASSWORD YANGU YA YAHOO.
LAKINI NIMEISAHAU NA MASWALI NLYOJIB KIPINDI NAJIUNGA NLSHAYASAHAU. Mwenye kjua namna ya kunsaidia nipo...
Hubble Reveals Scientific evidence about God
"That deep emotional conviction of the presence of a Superior reasoning power, which is revealed in the incomprehensible universe, forms my...
Wakuu napenda kutambua mchango wenu kwa wanajamvi.
Binafsi naomba nisaidiwe jinsi ya kufungua pdf files kwa ku2mia nokia C3 00. Ntashukuru kwa mchango wenu.
baada ya ku update simu ya N8 kutokea symbian anna hadi belle imekuwa ikihitaji password kila ninapoiwasha inahitaji password though ukiingiza wrong code up to 5 times inatishia kublock simu ila...
Habari zenu wakuu wenzangu? Kuna Rafiki yangu anatumia Facebook kwa mambo ya chat na kukutana na marafiki wa kila aina, sasa ameniomba nimsaidie kuficha marafiki zake ili watu wengine wasiweze...
Jana wakati nawatch mechi ya Madrid na Barcelona niligundua kitu ambacho sikuwa nakifuatilia hapo kabla. The picture quality za DSTV ni zaidi ya clear kiasi kwamba hata ikidondoka sindano waweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.