Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wengi wetu hua hatuoni na wengine hata hatuamini remote zina mionzi well kama unataka kuiona au kuamin ipo chukua remote yoyote inayofanya kazi then chukua camera hata ya simu yoyote sasa point...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
juzi kat external HDD yangu imepata matizizo flani..kila nikifungua inaniandikia ERROR PERFOMING INPAGE OPERATION.. hii HDD iko na documents zangu za mwimu sana...kwa mwenye msaada ntashkuru...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
wadau wa jamii,kwa anayefaham utatuzi wa simu yangu,mda si mrefu nilikua na download baadhi ya application kwenye hiyo sim,lakini ghafla ikazima na kila nikiwasha inatokea nokia basi haiwaki...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haya kwa wapenzi wa android na Tablets kwa ujumla Google hivi karibuni wame tangaza kifaa kipya kwa chenye bei nafuu kupindukia, si kingine bali ni Google Nexus 7 kilicho tengenezwa na kampuni la...
3 Reactions
46 Replies
8K Views
Wanajamvi, hii Treeview inaweka vertical spacing ndeeeeefu kuliko maelezo.Naombeni ujuzi wa kupunguza vertical spacing: Treeview katika .aspx page iko hivi: [CODE] <...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Naomben msaada .mimi nimenunua airtel modem mpya nimeshainstall program ile program yao, kisha nikaongeza salio na kununua bando cha ajabu nikibonyeza pale kwenye "CONNECT" Inakataa kukonecti pia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
hellow fellas, i have been trying to put almost all of my 'downloaded' applications to the SD card so as to give internal memory more space to enable good perfomance of the phone, i hav this...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu embu nipeni desa, naweza ku unlock modem ya zantel???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu wezangu jinsi ya kuweka link kwenye blogs na kutengeneza tab nidadafulieni kidogo am young IT
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naombeni mwenye link za kupata hizo window tajwa anisaidie!lkn nataka iwe iso image!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia Nokia N8-00 (Nokia Belle Refresh, release ver. 111.040.1511), ambapo natatizwa na namna 'Contacts' inavofanya kazi. Yaani unapokuwa umehifadhi namba ya simu mf. 0771 123456, na mtu mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Google had announced the Chrome OS long back and we.ve also see the prototype Chrome OS netbook Cr-48 being sent out for beta testing. At its I/O developer event, google finally announced the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natumia modem ya voda zte model:k3570-z nataka itumie line ya airtel nimedownload dc unlocker ila sijui jinsi ya kuitumia hivyo naomba msaada wa maelekezo,hata kama kuna software nyingine.
0 Reactions
1 Replies
939 Views
naombeni anaye jua jinsi ya kujiondoa kwenye huduma ya sh.450 ya tigo extreme pack ambayo unapewa dk.15,sms 100,na 50mb,kila ujiungapo,kwani kwa sasa mimi nipo sehemu ambayo tigo inashika kwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
ni modemu ya aina gani rahisi kuchakachuliwa
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Wakuu habari zenu... Naomba msaada laptop yangu imepta tatizo ambalo nimeshindwa hata kujua nianzie wapi. Laptop yangu ni DELL XPS,64-BIT,WINDOWS 7 na ina RAM 8GB.Na ina antivirus ya KASPERSKY...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ndugu zanguni watumiaji wa airtel,mwenzenu takribani wiki tatu sasa modem yangu iko slow kupitiliza,nikiweka bundle itaanza vizuri kwa kama dakika 5 hivi lakini baada ya hapo inachukua hata zaidi...
0 Reactions
2 Replies
928 Views
How To Block Websites On Your Computer Without Any Software There may be many reasons for which you may want to block websites permanently from your computer. Either may be for making...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba wenye Video tutorial za Adobe Premier CS4 wanisaidie hasa katika mambo mawili. 1.Katika Video Mixing yahani kuunganisha video na moja n audio nyingine ambapo unaweza kumute au kupunguza...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Katika kukidhi kiu ya wapenda "gadget" lakini wasiotaka kutumia mkwanjwa mkubwa kununua simu za bei mkubwa (High end)kama Nokia Lumia Nokia wamekuja Model ya asha. Simu za NokiaAsha zinaelezwa...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom